Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

jokajeusi hii mada imetugusa kwa waoaji na waolewa yani wengi hapa tunakataa kwa sababu 98% ya wanandoa wameoana bila bikira ndio mana kuna ubishi sana ujue mtu kuolewa ukiwa na bikira kuna utofauti wa kuheshimika na kuthaminika na yule asiyeolewa na bikira hata kama ukajiona unaheshimika na kuthaminika.

dah wengi tumeoa walioanzishiwa na watu wengine....ila hivi hao wanawake hawajiulizi kwanini mwanaume kabla hajaoa anakuwa mtu wa kuonja onja sana hivi huwa hutafuta nini si kingine ni bikira hata wakabisha hapa ukweli ndio huo....hivi hawajawahi ona mtu anahairisha kuoa baada ya kukuta kitu used tayari....dhahabu haikosi soko ni sawa na mwanamke bikira never miss a man to marry....ukiona mwanaume kakuoa bila bikira ujue alizunguka kakosa kasema basi ngoja nijishikize tu hapa.....!

not everything that is followed by many people is right some of them are wrong
 
Tafsiri hiyo umeitoa wapi? Unajua maana ya kitu bikra? Tangu lini mtumiaji akawa bikra? Elimu ni kitu muhimu sana. Mwanaume aliumbwa kutumia vitu vya ulimwenguni akiwemo mwanamke. Iweje yeye awe Bikra?
Mm sijasema mwanaume ni bikira usiniquote vibaya
 
I dont just care about me, concern yangu kubwa iko katika jamii, the same society ambayo nitalea na kukuza familia na ukoo wangu..
Ujumbe unaojaribu kuutoa sio mzuri ata kidogo kwa jamii.. Ifike point tuwe real tutenge mabaya kwa mabaya yake na mazuri kwa uzuri wake.. unaposema kila mtu afikirie kivyake hapo sasa ndio tunaanza kupoteza maadili na uthamani wa maisha katika jamii... Nikweli kwamba some consious zao zimeshakuwa dameged na ubaya lakini hilo lisitupe tiketi ya kutetea ubaya na kuona uzuri hauna maana

Bado hujanionesha kivipi huo ni ubaya, au umenionesha sijakubaliana na wewe.... Ubaya kwa maana unasababisha vifo, njaa, mafuriko, magonjwa n.k? Au ubaya katika muono upi?? Taratibu punguza hasira, haunifahamu wala sikufahamu mkuu usidhani mimi ni mbaya kuliko wewe 😂
 
Bikira ina umuhimu wake...kwanza inakupa confidence.!!inakupa kujiamini...kuwa wew ndo wa kwanza...!!huna presha na mpuuzi aitwaye X

ila ukichukua nungaembe unaishi kwa presha...hujiamini....!!maana kama sio bikira lazma utagongewa tu..!!

Najua waliotolewa bikira na hawana ndoa itawauma...ila ndo ukweli

Hao waliopo kwenye ndoa ndo mashahidi.....si mke c mume...!!wanaishi kwa majuto
Na hata ukioa bikra Utagongewaa tuuu...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu shukrani kwa kueleza kwa upana na kuwapa maziwa baadhi ya watu. Mimi niliwapa makande ilhali ni watoto wachanga
Hii ndo elimu mkuu sio ww ambaye umeishia kutukana watu ambao wanaishi vizuri na ndoa yao umekwaza wengi ujue sio kwa kusema ukweli ila kwakuwatukana ungefanya kama jama alivyofanya basi kila mtu angekaa na lake moyoni
 
Lakini Mada inahusu Bikra Mkuu au hujasoma vizuri. Alafu kitu kingine athari za ngono zipo 100% kwa mwanamke. Bikra mwanamke. mimba mwanamke, kuzaa mwanamke. Hujiulizi tuu Mkuu
Sijakataa mada inahusu nn ila nakata namna uwasilishaji mkuu bikira haweizi kuwa kipimo cha akili ya mwanaume anayeoa
 
kwani ubikira si nikigezo tu kama vigezo vingine mtu anapoamua kutafuta wife material sasa shida i wapi?.....alafu unaposema nimetukana ni wapi?.....nakukumbusha zamani ilikuwa ni aibu mtoto wa kike kuolewa na asikutwe na bikira.....acha tu bikira ina thamani yake bhana....sema wengi tunakataa sababu hatujaoa hao watu wengi tumekuta wenza wetu tayari washafanywa...hata mlevi wa pombe huitetea pombe wangali madhara yake hufahamu kabisa
Kwahiyo bikira ni kipimo cha uwerevu wa mwanaume siyo?
 
Ni nani hata amekwambia kwamba hao Wanawake uliowataja wanapenda au lengo lao maishani mwao ni kuolewa? Kuna watu wameridhika na maisha yao jinsi yalivyo kama wewe labda ulivyoridhika na yako, waache watu wawe jinsi wanavyotaka kuwa, wewe weka hiyo bikira na subiri Mwanamke/Mwanaume ambaye mtafanana yaani wote bikra muoane muwe na furaha kama wengine walivyo na furaha kuishi bila bikira na siyo ishu kwao!
Povu kama lote
 
..ni ujinga kwa mwanaume kutaka kuoa.mwanamke bikra haliyakuwa ww si bikra na bikra yako imetoka kwa kutoa bikra za mabint WA watu...

In this life u get what you deserve, stay cool..
Hakuna mwanaume bikra ,ndo maana mwanamke akapewa hymen
 
Bado hujanionesha kivipi huo ni ubaya, au umenionesha sijakubaliana na wewe.... Ubaya kwa maana unasababisha vifo, njaa, mafuriko, magonjwa n.k? Au ubaya katika muono upi?? Taratibu punguza hasira, haunifahamu wala sikufahamu mkuu usidhani mimi ni mbaya kuliko wewe [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sina hasira ila najaribu tu kuuchanganua ukweli, kama alivyochanganua mtoa mada na watu wakadhani anatukana.. Binadam ni kiumbe mwenye utashi ndio maana kapewa mamlaka ya kumiliki dunia.. utakua unadanganya kama hutoona kama kufanya uzinzi ni ubaya.

Na pia hapa hoja ndizo zinazobishana kama utaona hoja zangu zinaingia in ur personal life nakuhakikishia halikuw lengo langu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yawezekana ulichokiongea ni sahihi. Japo lugha uliyotumia du!
Mimi ni mwanamke, lakini sidhani kama ni jambo jema kwa mwanaume aliyeoa lady asiye na bikira kumwita "mjinga". Si kosa lake. Na tambua pia kuna wanaume hawapendi hizo bikira. Pia, kinachounganisha watu ni upendo na si bikira.
Jingine, utajua vipi kama huyu binti Ana bikira au hana? Maana hatutembei na nembo siye.
Hayo yote ni majaliwa
Hakuna mwanaume asiyependa bikra,ila watu wanazuga tu kutokana na uhalisia Wa maisha ya sasa
 
kwani ubikira si nikigezo tu kama vigezo vingine mtu anapoamua kutafuta wife material sasa shida i wapi?.....alafu unaposema nimetukana ni wapi?.....nakukumbusha zamani ilikuwa ni aibu mtoto wa kike kuolewa na asikutwe na bikira.....acha tu bikira ina thamani yake bhana....sema wengi tunakataa sababu hatujaoa hao watu wengi tumekuta wenza wetu tayari washafanywa...hata mlevi wa pombe huitetea pombe wangali madhara yake hufahamu kabisa
Ukishasema zamani basi ushakuwa nje maana kwa zama zile mwanamke kufika 20 hajaolewa kiukweli watu wataanza kufikiria tofauti na mwanaume kufika 30 bado hajaoa pia kuna walakini ila kwa siku hizi mwanamke 20 ndo kwanza yupo bize na elimu ndoa hata akilini haipo,zama mwanamke anasubiria akue aolewe basi lakin sahiv naye anatafuta maisha,zaman mwanaume ni kupewa na ngombe umri ukfika anaanza familia je sahiv ipoje, so sidhan kama wanawake walikuwa waaminifu sana kuliko wa sasa ila mazingira yaliwasaidia sana
 
Back
Top Bottom