Kuna kamsemo kamoja hivi, kila mla cha mwenzake na chake huliwa, either directly or indirectly
Wewe unainamisha kadada ka watu huko ujue na wewe ka kwako kanainamishwa huko, kwa kuwa muda wa Mungu kuonana naye bado huwezi jua.
Kaka zangu wawili, mmoja kila pichu anafunua, juzi kaoa, yeye single father kaoa single mother, maisha yanaendelea kama kawaida, maana hawezi kupata bikra wakati kafunua hadi visivyofunulika, tena mke na matattoo kama yotee, na baada ya sherehe wakaenda zao club.
Huyu mwingine kamaliza juzi ni Doctor, kaoa binti mdogo kitu new kabisa, kwa kuwa hana mambo mengi Mungu kamuona bikra ipo.
Sipingi bikra inaongeza heshima, sijui upendo na uaminifu, lakini je wewe hiyo heshima unayo, wakati kila siku kufukuzia chupi tu tena mnaambina hapa kula Kimasihara sijui shoo mbovu niliowahi kuipiga, sijui kurambana kinyeo, dude lako kila mtu kaliona kwamba mguu wa paka au kibamia kama siyo nyanya chungu kabisa.
Ndoa ni heshima na tutaolewa tu, endeleeni kujadili bikra badala ya kutafuta hela na maisha