Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Dunia iko fair na mipango ya MUNGU Ni thabiti.Dunia haipo fair Mkuu.
Ninyi mliumbwa kwa ajili yetu. Hamuwezi kutupangia lolote likawa.
Japo unachosema ni kweli lakini. Kuhusu suala la mahusiano lipo hivyo;
Yupo Mke mwema ambaye anatoka kwa Mungu. Sifa moja wapo ya mke mwema ni kuwa na bikra.
Wapo wanawake ambao hao ni kwa ajili ya kustarehesha wanaume. Hao ndio wanaotoa bikra zao kwa tamaa zao.
Ukiona hukuolewa na bikra ujue wewe sio mke mwema. Bikra ni alama ya uaminifu na usafi. Ni heshima kwa mke na mume.
Siwezi kuwafanya wanawake wote waolewe na bikra kwa kuwa najua sio wote wanatoka kwa Bwana.
Bila bikra hiyo bidhaa inanunuliwa kwa hati punguzo.
Bila bikra inapunguza ubora wa mwanamke.
Yaani hata useme ulikuwa na mwanaume mmoja. Nani atakuamini. Hata ukiwa umetoa mimba nani atakuamini.
Ukiwa na bikra hata mtu akuite malaya unabaki unamcheka tuu. Wala hautaumia.
Lakini mwanamke yeyote asiye na bikra ukimuita malaya atakavyowaka wakati hiyo ndio ukweli.
Wanawake wanakosea pale wanapojilinganisha na wanaume.
Wasijue wao wapo kwaajili yetu.
Hakuna sehemu inaruhusu mwanaume kuzini hovyo..Zaidi inasema aziniye na mwanamke Hana akili kabisa
Dunia ya Sasa tumezungukwa na wanaume wajinga(wasio na akili)
Kuhusu mke nakubali kabisa,apataye mke apata kibali kwa Bwana na kibali chatoka katika bikra.... ila anayestahili haya Ni yule aliyejitunza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app