Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Dunia haipo fair Mkuu.

Ninyi mliumbwa kwa ajili yetu. Hamuwezi kutupangia lolote likawa.

Japo unachosema ni kweli lakini. Kuhusu suala la mahusiano lipo hivyo;

Yupo Mke mwema ambaye anatoka kwa Mungu. Sifa moja wapo ya mke mwema ni kuwa na bikra.

Wapo wanawake ambao hao ni kwa ajili ya kustarehesha wanaume. Hao ndio wanaotoa bikra zao kwa tamaa zao.

Ukiona hukuolewa na bikra ujue wewe sio mke mwema. Bikra ni alama ya uaminifu na usafi. Ni heshima kwa mke na mume.


Siwezi kuwafanya wanawake wote waolewe na bikra kwa kuwa najua sio wote wanatoka kwa Bwana.

Bila bikra hiyo bidhaa inanunuliwa kwa hati punguzo.

Bila bikra inapunguza ubora wa mwanamke.

Yaani hata useme ulikuwa na mwanaume mmoja. Nani atakuamini. Hata ukiwa umetoa mimba nani atakuamini.

Ukiwa na bikra hata mtu akuite malaya unabaki unamcheka tuu. Wala hautaumia.

Lakini mwanamke yeyote asiye na bikra ukimuita malaya atakavyowaka wakati hiyo ndio ukweli.

Wanawake wanakosea pale wanapojilinganisha na wanaume.

Wasijue wao wapo kwaajili yetu.
Dunia iko fair na mipango ya MUNGU Ni thabiti.
Hakuna sehemu inaruhusu mwanaume kuzini hovyo..Zaidi inasema aziniye na mwanamke Hana akili kabisa
Dunia ya Sasa tumezungukwa na wanaume wajinga(wasio na akili)

Kuhusu mke nakubali kabisa,apataye mke apata kibali kwa Bwana na kibali chatoka katika bikra.... ila anayestahili haya Ni yule aliyejitunza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akhsante kwa kuwa umekubaliana na Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndio hivyo.

Lakini huwezi linganisha Kitu kisafi na kichafu.

Yani embe lililochumwa mtini kisha likang'atwa alafu likawekwa Gengeni liwe sawa na embe lililo mtini ambalo halijang'atwa.

Hivi ukiambiwa uchukue embe moja kati ya hilo hapo gengeni utachukua lipi?

Ni mwanaume mpumbavu tuu ambaye ataacha kuchukue embe zuri ambalo halijang'atwa alafu achukue lililong'atwa likaliwa na nzi kwenye nyama zake.

Mara nyingi vichaa ndio hula maembe ya namna hiyo.

Bikra ni Bikra. Bikra siku zote ni bikra.

Juzi hapa ilikuwa kumbukumbu ya Bikra Maria kumzaa Yesu. Unafikiri Yesu angezaliwa na Jianamke malaya nani angemheshimu.

Malaya huzaa watoto wa zinaa.

Yaani mtoto kweli apite sehemu iliyomwagiwa mashahawa na kila mwanaume. Sehemu iliyopita mitarimbo ya kila namna.

Huyo mtoto atategemewa kwa lipi zaidi ya kuw Mhuni kwenye huu Ulimwengu.

Hapa walioharibu Bikra za watoto wa watu bila kuwaoa walaaniwe. Lakini pia wanawake walioharibu bikra zao kwa ujinga walaaniwe kwa kuwapitisha watoto wao kwenye mlango mchafu.

Pumbavu kabisa.
 
Saint anne,

Ni kweli.

Ila atoaye bikra ya mwanamke bila kumuoa ndio kichaa kabisa.

Mimi nitafanya dhambi zote lakini kamwe siwezi haribu kitu kipya ambacho sina mpango nacho. Siwezi toa bikra ambayo sitamuoa huyo mwanamke.

Ila kuhusu kuharibu vilivyoharibiwa hilo nitalifanya. Kwa maana vipo ambavyo vipo kwa ajili ya kuharibiwa. Uwanja wa mafunzo.
 
Saint anne,


Dunia haiko fair Mamaa.

Huu ni Ulimwengu. Wapo walioumbwa kufanya jambo hili na isiwe kosa lakini wakifanya wengine ni kosa.

Ninyi mpo kwa ajili yetu. Hilo liko hivyo.

Mwanaume anaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Hii ni ili apunguze tamaa zake.

Kinachowafanya wanawake waharibiwe bila kuolewa ni kile kitendo cha wao kutaka kuwa mke mmoja.

Wanaume tupo tayari kuwaoa bila shida yoyote lakini shida ipo kwenu.
 
Huoni hata huo Ni uchafu?
Mabinti wanajitunza halafu wanakuja kupata mtu mchafu kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mwanaume hawezi kuwa mchafu.
Mwanaume atafanya uchafu kama atashiriki uchafu na Mwanaume mwenzake.
Sijui kama unaelewa haya mambo.

Shahawa zisizo za mume wako ni uchafu. Mwanaume anapoenda kumwaga shahawa kwa mwanamke asiyemke wake huenda kutupa uchafu.

Ndio maana mwanamke asiye na bikra huitwa najisi, mchafu, kutokana na kumwagiwa uchafu na Mwanaume.

Mwanaume anakuwa mchafu anapomwagiwa shahawa na mwanaume mwenzake. Huo unaitwa uasherati, Ushoga.

Mwanamke kwa mwanamke Usagaji. Nao ni uzinzi lakini hakuna uchafu hapo.

Hizo ni Lugha. Ila zote ni uzinzi. Ila zinatofautiana.

Mwanamke anaonekana ni mbaya katika jambo hili kwa sababu kuu moja
☞ Uke ndio sehemu pekee ya mtoto kujia duniani. Unapoinajisi sehemu hiyo. Watoto wote wanaopita hapo huchafuliwa. Huwa wachafu.

Wanaitwa watoto wa zinaa. Mpaka wasafishike inahitaji mchakato.

Sasa mtu anazini kama mbwa unategemea nini. Ndio maana wanadamu wa leo wapo kama wanyama.

Kutwa uzinzi. Ni kwa sababu ya kuzaliwa na wamama wachafu.
 
Wapi maandiko yanaruhusu kuoa mke Zaidi ya mmoja!?
Wapi maandiko yanaongelea wanaume kufanya uovu na usihesabike Kama uovu?

Unaamini katika kitabu kipi?
Sent using Jamii Forums mobile app


Hakuna andiko linalokataza mtu kuoa wake wengi.

Ila yapo maandiko yanayoonyesha kuoa wake wengi sio kosa.

Ndio maana Mungu akaweka kabisa na utaratibu kwa wale watakaooa wake zaidi ya mmoja.
 
Mkuu ameongea sawa kabisa! Nakuunga mkono.

Ila Kwa wanaume kama unataka mwanamke bikra hakikisha na we we unajitunza unakuwa bikra.

Jokajeusi,
 
Mkuu ameongea sawa kabisa! Nakuunga mkono.

Ila Kwa wanaume kama unataka mwanamke bikra hakikisha na we we unajitunza unakuwa bikra.


Umeongea point.

Lakini Mwanaume hana Bikra.

Kisayansi na kidini kote mwanaume hana Bikra.

Ila kilugha kwa kuzingatia maana ya msingi ya neno bikra. Ni alama alizonazo mwanamke ambaye hajawahi kukutana na Mwanaume kimwili.

Ila maana Matlaba hasa katika Maana Dokezi. Bikra ni kitu chochote ambacho hakijatumika.

Kimsingi maana inayotumika ni ile maana ya Msingi.
 
Kupata bikra zama hizi ni shughuli pevu.. Mkuu tuache na mashimo yetu

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Jokajeusi, Wewe nilijua una akili kumbe na wewe upo kwenye kundi la wasio na akili wanaotajwa kwenye mithali.
Kila siku kuongea bikra humu nikajua hata unajua vizuri misingi ya kidini kumbe hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabinti tuna Safari ngumu.
Kujitunza halafu wanaume wenyewe ndo Hawa km mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani huyu mleta mada ni limbukeni sana. Yani ukimfatilia na hii michango yake ya bikira utagundua ni aidha mshamba au wale watu wanaoamini mwanamke si lolote. Huwa namuonea huruma sana mke wa huyu jamaa. Yani yeye kwake mwanamke katika vyote eti bikira ndio anachoangalia. Yani huyu yuko tayari kuoa hata mtoto mdogo kisa ni bikira. Anasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom