Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kumbe bikira ni kwa mwanamke pekee,sikujua hilo. Asante kwa kunijulisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

From what I know kuhusu bk ni kujitunza(hujawahi make love), na ndyo maana nikakwambia kujitunza ni kwa watu wote tu ke & me, Usomi wa mtu huwa unaugunduaje? I'm not msomi btw, na hata ingelikua hivo, watu tunaendelea kujifunza daily and I hope hujamaster kila kitu kama ni msomi pia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Afadhali umesema from Whay you Know. Sasa nami nakujuza kuwa Bikra maana yake ya msingi ni Mwanamke ambaye hajawahi kufanya ngono. Na hilo huthibitishwa na alama za ubikra alizonazo sehemu za siri. Hata Biblia inaeleza kuwa Mwanamke kama utamkuta hana alama za ubikra unaruhusa ya kumpa talaka.

Maana ya Ziada au dokezi ya neno Bikra ni kitu chochote kisichowahi kufanyiwa matumizi. Maana hii huwa si ya msingi japo inatokana na Maana ya msingi.

Nakupa Mfano;
Neno :KUPE" maana ya msingi ya neno kupe ni mdudu mdogo anayenyonya damu wanyama wengine.

Lakini maana ya ziada ya neno "Kupe" ni Mtu yeyote mnyonyaji. Kwa mfano Nchi za ulaya Nyerere aliziita kupe kutokana na Unyonyaji waliokuwa wanaoufanya. Lakini kimsingi nchi hizo sio wadudu bali ni kutokana na tabia au sifa walizokuwa nazo.

Mfano mwingine ni neno "SIMBA" ni mnyama wa mwituni jamii ya paka. Hii ni maana ya msingi ya neno Simba.

Lakini maana dokezi au ya ziada mtu anaweza kujiita simba kutokana na kuwa na sifa fulani za mnyama huyo. Aidha ni ujasiri, nguvu au mamlaka.

Mfano Diamond Platinum anajiita simba lakini kimsingi sio simba.

Hivyo unapoambiwa neno lolote lile ni lazima ujue maana yake ya msingi kwanza sio unakuja kukurupuka kama mpumbavu.

Shamba au ardhi kuitwa bikra yaani haijatumika ni maana dokezi ambayo inatokana na kutotumika kwake. Lakini kimsingi bikra ni mwanamke ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Na anaalama hizo za ubikra.

Mwanaume ataitwa bikra ikiwa mtu ataamua kutumia maana dokezi ya Ubikra lakini kimsingi mwanaume sio bikra.

Mfano; Mwanaume anaweza kuitwa Mwanamke ikiwa anatabia au sifa za mwanamke lakini kimsingi yeye sio mwanamke. Bali watu wataangalia maana dokezi au ya ziada ambayo huzingatia sifa, tabia au umbo la kitu husika.

Nakupa mfano mwingine.
Neno KIFARU. Ni mnyama mkubwa wa porini anayekula majani. Hiyo ndiyo maana ya msingi.

Lakini ipo dhana ya kivita iitwayo pia "kifaru" hii ni maana dokezi kutokana na dhana hii kuchukua umbo la mnyama kifaru.

Lakini maana ya msingi ya neno Kifaru ni mnyama wa porini.

Haya mambo kama hujui ni bora uombe muongozo.

Nafurahi kuona na kusikia kuwa ulikuwa tayari kujifunza.

Mkienda shule muwe mnajifunza mambo mengi.

Mtu aliyeenda shule sishindwi kutambua jinsi anavyoandika. Kwa hiyo usinibishie wakati muandiko wako unakushtaki.
 
Kúna Mila ambazo waafrika inabidi tuziangazie macho kwa sasa, swala la kutoa mahari liwe na vigezo. Haiwezekani nitoe mahari kwa mtu kaharibiwa na wanaume wengine huko.

Sio ndio hapo. Yaani ufanye sherehe kwa kitu kilichochakaa. Hakika kizazi hikihakiishi vioja.

Ukisikia Bibi Harusi sharti awe na Bikra. Ukisikia harusi sharti bibi harusi awe na bikra. Ukisikia mahari sharti bibi harusi awe na bikra.

Sasa kijana unaenda kujidhalilidha ukweni na gharama nyingi kisa upuuzi. Yaani utoke Mbeya uende Kilimanjaro kutoa mahari kwa upuuzi.

Achaneni kujidhalilisha.
 
I agree.
Sema kumpata ni shida.
Kuna mmoja alinidanganya aisee nikahisi huenda ikawa kweli kutokana na lifestyle niliyomkuta nayo (Christian, anapenda dini etc.)

Ila baadaye alipoona nipo serious akaona aibu akaniambia ukweli.

Nikamwacha immediately.
At least angesema ukweli ningemfikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kúna Mila ambazo waafrika inabidi tuziangazie macho kwa sasa, swala la kutoa mahari liwe na vigezo. Haiwezekani nitoe mahari kwa mtu kaharibiwa na wanaume wengine huko.
Halafu bado mijitu mingine siku ya harusi inatoa zawadi eti kwa "mama mzaa chema"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui hicho chema ni kipi wakati injini imetembea 999999999Km

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shemeji mie kote huko nimechafua sio naongea kwa kusikia hivi wahaya wanavyofanana kitabia na wanyankole unaweza kweli kujitetea kwa mtu aliyetembea maeneo hayo kwa kiasi fulani?

Huko na Uganda wala hakuna utofauti sana

Wanawake wa Uganda wamekaa kiny*g*e sana kama wah**y

Pia nimetembea hizi east Africa yote ndugu zenu wengine ni Rwanda na Burundi.
Huwezi fananisha wahaya na wanyankole Acha uongo.

Wala waganda hata kidogo.

Wahaya wako kivyao na waganda kivyao Kwanza hakunaga kabila la wahaya Bali ni muunganiko wa makabila madogomadogo na yanayojitegemea.

Watu wa muleba ni tofauti Sana na wa bukoba,karagwe,na misenyi.

Kidogo watu wa misenyi hasa kyaka ndo wanafanana waganda kimsingi ni waganda maana waliiibwa Tu na Nyerere .

Ila wayoza wao hufanana na wahima wa Rwanda pamoja na wanyambo.

Mkuu kama kabila hulielewi vzr na kukaa kusimuliwa story za mitandaoni kaa kimya ili kabila sio type yako liko mbali mno ingawa kama Una chuki nalo huwezi ona umuhimu na maendeleo yake.

Kama unaona wahaya wa Dar labda unakumbana na walikimbilia huko baada ya kutolewa bikra.

Kama wanawake wa kihaya wananyege Sana mbona ndo wanaongoza Kwa idadi ya watawa tz na wanaume kuongoza Kwa upadre tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kitu sahihi kabisa.

Unaposema mke mwema unayemuomba kwa Mungu, moja ya sifa ya mke mwema ni kuwa na bikra sijui kama unalijua hilo. Ndio maana Makuhani waliagizwa waoe wanawake bikra ili wawe watakatifu. Pia wasioe wasio na bikra ili wasijetiwa unajisi nao.

Bikra ni moja ya alama za mke mwema. Usipotoshwe na waovu mkuu.

Hii ndio point kabisaaa.... Yaani penda usipende huo ndio ukweli wenyewe.
 
Afadhali umesema from Whay you Know. Sasa nami nakujuza kuwa Bikra maana yake ya msingi ni Mwanamke ambaye hajawahi kufanya ngono. Na hilo huthibitishwa na alama za ubikra alizonazo sehemu za siri. Hata Biblia inaeleza kuwa Mwanamke kama utamkuta hana alama za ubikra unaruhusa ya kumpa talaka.

Maana ya Ziada au dokezi ya neno Bikra ni kitu chochote kisichowahi kufanyiwa matumizi. Maana hii huwa si ya msingi japo inatokana na Maana ya msingi.

Nakupa Mfano;
Neno :KUPE" maana ya msingi ya neno kupe ni mdudu mdogo anayenyonya damu wanyama wengine.

Lakini maana ya ziada ya neno "Kupe" ni Mtu yeyote mnyonyaji. Kwa mfano Nchi za ulaya Nyerere aliziita kupe kutokana na Unyonyaji waliokuwa wanaoufanya. Lakini kimsingi nchi hizo sio wadudu bali ni kutokana na tabia au sifa walizokuwa nazo.

Mfano mwingine ni neno "SIMBA" ni mnyama wa mwituni jamii ya paka. Hii ni maana ya msingi ya neno Simba.

Lakini maana dokezi au ya ziada mtu anaweza kujiita simba kutokana na kuwa na sifa fulani za mnyama huyo. Aidha ni ujasiri, nguvu au mamlaka.

Mfano Diamond Platinum anajiita simba lakini kimsingi sio simba.

Hivyo unapoambiwa neno lolote lile ni lazima ujue maana yake ya msingi kwanza sio unakuja kukurupuka kama mpumbavu.

Shamba au ardhi kuitwa bikra yaani haijatumika ni maana dokezi ambayo inatokana na kutotumika kwake. Lakini kimsingi bikra ni mwanamke ambaye hajawahi kufanya mapenzi. Na anaalama hizo za ubikra.

Mwanaume ataitwa bikra ikiwa mtu ataamua kutumia maana dokezi ya Ubikra lakini kimsingi mwanaume sio bikra.

Mfano; Mwanaume anaweza kuitwa Mwanamke ikiwa anatabia au sifa za mwanamke lakini kimsingi yeye sio mwanamke. Bali watu wataangalia maana dokezi au ya ziada ambayo huzingatia sifa, tabia au umbo la kitu husika.

Nakupa mfano mwingine.
Neno KIFARU. Ni mnyama mkubwa wa porini anayekula majani. Hiyo ndiyo maana ya msingi.

Lakini ipo dhana ya kivita iitwayo pia "kifaru" hii ni maana dokezi kutokana na dhana hii kuchukua umbo la mnyama kifaru.

Lakini maana ya msingi ya neno Kifaru ni mnyama wa porini.

Haya mambo kama hujui ni bora uombe muongozo.

Nafurahi kuona na kusikia kuwa ulikuwa tayari kujifunza.

Mkienda shule muwe mnajifunza mambo mengi.

Mtu aliyeenda shule sishindwi kutambua jinsi anavyoandika. Kwa hiyo usinibishie wakati muandiko wako unakushtaki.

Ahsante kwa gazeti,ila naona umezunguka but umerudi pale pale "mwanaume ataitwa bk ikiwa tu mtu atatumia maana ya ziada" so hicho ndicho nilitumia, na point yangu uliielewa vizuri tu kuhusu kujitunza ,ila basi ubinadamu kutafuta makosa madogo ili akuze mambo, ila freshi

but kama umeamua kumuelekeza mtu juu ya issue yoyote Tumia busara basi hiyo kutukana(mpumbavu nk)+ kejeli sidhani kama ni vizuri kwa msomi wa bikira kama wewe,but huenda inakuongezea credits who knows. Pamoja na kuwa msomi wa bikira na maana zake pia kuna vitu unaweza kuwa huvujui na watu tunaendelea kujifunza daily yani,huwezi jua kila kitu.

Hivi niandikaje ili inioneshe kwamba mi siyo msomi?,maana inawezekana napewa title ambayo sina na kupelekea kuelekezwa vitu kwa kutukanwa na masimango dah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Financial Services

Nimeshakuambia kuwa Mwanaume hana bikra kwa maana bikra lazima ithibitishwe na inaalama zake.

Mwanaume ataitwa bikra kama maana dokezi. Sijui kama unaelewa nini maana ya Maana dokezi.

Diamond akijiita Simba, je ni kweli yeye ni simba
 
Sasa kama unasema kuna maana "dokezi", huenda ndyo niliyotumia(did I told you ni maana ya msingi?)and ofcourse sihitaji iwe ya msingi for what? , lengo nilimaanisha wake kwa waume wajitunze wether wana alama or not,tusinyooshewe vidole wadada pekee sababu kuna alama nk. Hope you get my point Joka la blue, uwe na siku njemaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom