Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wanaume wa siku hizi kila siku wanatafuta excuse ya kudangia

Khantwe, nsikilize mimi, usiolewe na mwanaume kapuku. Kama hutaki sio lazima unisikilize. Muulize hata mama yako au Baba yako wao tayari wanauzoefu wa maisha. Watakuambia hiki hiki
 
NDIO MAANA NIKASEMA, USIOE MASIKINI, NA MWANAMKE ASIOLEWE NA MWANAUME MASIKINI.

Kama umeniona mimi masikini ndio umwambie dadaako asiolewe na mimi. Sawa Mkuu.
mentality zote za kipuuzi na kijinga mara nyingi humilikiwa na watu maskini na hii ndo hua njia yao kuu ya kujifariji
 
Tutajie huo ukoo wamatajiri uliko oa ..Maana hakuna tajiri asie famous.

Seema mkeo.anafanya kazi...Anakipato chake Tena Cha kawaida..mnasaidiana majukumu...SASA HUO NDO UTAJIRI?

Ungekua tajiri ungekua na Muda wakulazimisha Watu falsafa Zako za kipumbavu...hapa..

Eti furaha ya ndoa Ni kua mke tajiri...ungekua na Muda wakujibizana na sisi MASIKINI humu JF..

Wewe Ni unamaisha yakawaida tyu..unamaisha ya kawaida ya kubadilisha.mboga...na kununua luku...

Kenge Wewe.

Mwanamke masikini anashida sana. Watu wanathibitisha kupitia wewe.

Nani amelazimishwa?

Umasikini shida aseee!
 
Nimesimulia tu, yaani umenikumbusha kisa hicho.
Lakini pia mimi binafsi siwezi kuoa kwa kigezo cha mke kuwa na msli au bikra.
Ikitokea niliyempenda ana vigezi hivyo indhallah lakini hivyo sio vipaumbele kwangu.
La kwanza kwangu niwe nimempenda kwa fhati naye awe ananikubali kwa moyo wake wote.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] best comment ever. Kwa kweli mwanamke kuwa bikra unapoolewa ni jambo jema, mtu mzima yeyote kuwa independent ni jambo jema pia lakini sio guarantee kuwa huyu mtu lazima atakuwa mwema
 
Senseless thread again meant to make a woman feel shitty.

1. Virginity
My fellow women, being a virgin should not have an impact on whether someone will date/marry you or not.

We all know that virginity may or may not be lost sexually. And where lost sexually it may be lost with consent or without.

Furthermore, if by consent the one we lose our virginity to may or may not be with us for reasons that nature cannot prevent.

Do ignore the virginity bullshit. Exercise your sexual freedom but with caution having your dignity as a woman in mind.

2. Money

I admire a woman with money. I always cheer inside when a woman does better than me. When a woman drives past in a powerful machine, I tell with delight.

I have said before a woman's insurance is some money of her own against unforeseen circumstances. But don't be fooled into being with a guy who is after your money because you are not a virgin. That is total madness.

You earned your owned money. It may not be much but you pay your bills, you can take yourself to the spa, to dinner and buy your own jewellery without sacrificing your dignity. Spend it wisely.

Life does not end as you get old. Life begins at 40. For the women seeking love after 40. Be wise. Love is there at all ages. Do not buy love. Do not have a scumbag having issues with your virginity like it's a matter of life and death.

Live your life the way you deem fit, just have a clear mind.

Nimemaliza.
 
mentality zote za kipuuzi na kijinga mara nyingi humilikiwa na watu maskini na hii ndo hua njia yao kuu ya kujifariji

😀 😀 😀 😀

Sasa umeelewa.

Kumbe unajua masikini walivyo. Wewe ushanielewa.
'
Kaoe sasa masikini kisha utaipata fresh
 
Maneno mengi hayatasaidia.

Tusiandikie mate, olewa na mwanaume kapuku, kisha utaisoma namba

Mimi na masikini ni mbingu na ardhi. Ati papuchi tamu, tangu lini masikini akawa na papuchi tamu. Nini sijawahi ona akii
Mkuuu...Kwaiyo biyo papuchi ya mkeo Ni tamu kwakua ANA HELA...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Masikini hawasikii Raha ya kufanya Mapenzi..kwaiyo mboo ya masikini nayo.chungu...
.huna Akili wewe...Tena kwa hoja zako dhaifu...unatukana watu hawana Akili wakati Wewe ndo kilaza kabisa...

Hujui kujenga hoja..hujui kufanya analysis...hujui kumshauri mtu kutokana na mazingira... Unaamini eti maisha Yana kanunu Mona..nayo ni OA MWANAMKE TAJIRI uishi maisha ya Raha ya ndoa....[emoji3][emoji3][emoji3]

Ndo nyie mnaojifanya mnajua kumbe hamjui kitu...huo ndo unaitwa Upang'ang'a.
 
Senseless thread again meant to make a woman feel shitty.

1. Virginity
My fellow women, being a virgin should not have an impact on whether someone will date/marry you or not.

We all know that virginity may or may not be lost sexually. And where lost sexually it may be lost with consent or without.

Furthermore, if by consent the one we lose our virginity to may or may not be with us for reasons that nature cannot prevent.

Do ignore the virginity bullshit. Exercise your sexual freedom but with caution having your dignity as a woman in mind.

2. Money

I admire a woman with money. I always cheer inside when a woman does better than me. When a woman drives past in a powerful machine, I tell with delight.

I have said before a woman's insurance is some money of her own against unforeseen circumstances. But don't be fooled into being with a guy who is after your money because you are not a virgin. That is total madness.

You earned your owned money. It may not be much but you pay your bills, you can take yourself to the spa, to dinner and buy your own jewellery without sacrificing your dignity. Spend it wisely.

Life does not end as you get old. Life begins at 40. For the women seeking love after 40. Be wise. Love is there at all ages. Do not buy love. Do not have a scumbag having issues with your virginity like it's a matter of life and death.

Live your life the way you deem fit, just have a clear mind.

Nimemaliza.

Muulize Baba yako au Mama yako atakueleza vizuri. Hapa hutaelewa
 
Mwanamke masikini anashida sana. Watu wanathibitisha kupitia wewe.

Nani amelazimishwa?

Umasikini shida aseee!
Mkuu...Mimi Sio masikini kwa kuangalia familia yangu nilikotoka...lakini Mimi.kama Mimi bado natafuta..Wewe si unamuita mkeo tajiri kwa kuwa baba ake..alikupa zawadi ya gari kwa kuoa SURA MBAYA YA MWANAE
 
Mkuuu...Kwaiyo biyo papuchi ya moon Ni tamu kwakua ANA HELA...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Masikini hawasikii Raha ya kufanya Mapenzi..kwaiyo mboo ya masikini nayo.chungu...
.huna Akili wewe...Tena kwa hoja zako dhaifu...unatukana watu hawana Akili wakati Wewe ndo kilaza kabisa...

Hujui kujenga hoja..hujui kufanya analysis...hujui kumshauri mtu kutokana na mazingira... Unaamini eti maisha Yana kanunu Mona..nayo ni OA MWANAMKE TAJIRI uishi maisha ya Raha ya ndoa....[emoji3][emoji3][emoji3]

Ndo nyie mnaojifanya mnajua kumbe hamjui kitu...huo ndo unaitwa Upang'ang'a.

Masikini hashauriwi wala hashauriki

Mimi ni kilaza lakini naelewa masikini walivyo, sasa wewe usiyewaelewa masikini ndio unashangaza watu humu.

Masikini wapo ili wateseke na watese wenzao. Nani atakubali kuteswa na wapuuzi
 
Khantwe, nsikilize mimi, usiolewe na mwanaume kapuku. Kama hutaki sio lazima unisikilize. Muulize hata mama yako au Baba yako wao tayari wanauzoefu wa maisha. Watakuambia hiki hiki
Utu wa mtu haujawahi kukamilishwa na pesa. Kama mtu nitakayependana naye atakuwa na pesa well and good....wazazi wangu walioana katika umaskini sijaona kama kuna kitu chochote kimepungua kwenye ndoa yao
 
Mkuu...Mimi Sio masikini kwa kuangalia familia yangu nilikotoka...lakini Mimi.kama Mimi bado natafuta..Wewe si unamuiya mkeo tajiri kwa kuwa baba ake..alikupa zawadi ya gari kwa kuoa SURA MBAYA YA MWANAE

Hahahaha!

Kumbe na wewe huupendi umasikini. Naona unavyohangaika hapa.

Kaa ukijua mimi na vitoto vimasikini kama wewe mbali mno. Hata ungekuwa unatoka peponi. Vimasikini vimekaa kimateso mateso, njaa njaa, uchawi uchawi tuu,
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] best comment ever. Kwa kweli mwanamke kuwa bikra unapoolewa ni jambo jema, mtu mzima yeyote kuwa independent ni jambo jema pia lakini sio guarantee kuwa huyu mtu lazima atakuwa mwema
Hakika.
Lingine mke mwema atatoka udongo gani?
Mimi ndiye wa kumtengeneza mke nimpendaye.
Nilimewahi kudate na mrembo flani...maisha yake aliyajua mwenyewe lakini alichojaaliwa ni kuwa alifinyangwa asubuhi kabla mfinyanzi hajachoka.
Nilimpa upendo mzito...binti wa watu alipofuka, hakutaka akae mbali nami hata kwa dakika chache, ilikuwa ukitaka ukosane naye unitaje vibaya.
Ilifika wakati anawaambia watu kuwa kwa kimalikia cha kuunga na gesi "this guy has changed my life" nimesema cha kuunga na gesi.
Ninasema nini?
Mke bora hayupo
Bali mke bora hutengenezwa, huumbwa upya, hufundishwa uaminifu kwa vitendo na rooll model wake ni uaminifu wa mume.
Huyu mleta uzi hajui asemalo, tena hawajui wanawake vizuri.
Bro mleta uzi mimi ninawajua wanawake wa mataifa karibu yote.
 
Utu wa mtu haujawahi kukamilishwa na pesa. Kama mtu nitakayependana naye atakuwa na pesa well and good....wazazi wangu walioana katika umaskini sijaona kama kuna kitu chochote kimepungua kwenye ndoa yao

Wewe hujaona, sasa kamuulize mama yako yeye atakujuza
 
Mkuu...Mimi Sio masikini kwa kuangalia familia yangu nilikotoka...lakini Mimi.kama Mimi bado natafuta..Wewe si unamuita mkeo tajiri kwa kuwa baba ake..alikupa zawadi ya gari kwa kuoa SURA MBAYA YA MWANAE

Ha ha jamaa ikabidi azawadiwe gari kwa ajiri ya ujasiri wake dah [emoji3][emoji23][emoji23]
 
Pesa hizi..matajiri wanataka kuoana na matajiri wenzao, maskini hawataki kuoana na maskini wenzao
 
Hahahaha!

Kumbe na wewe huupendi umasikini. Naona unavyohangaika hapa.

Kaa ukijua mimi na vitoto vimasikini kama wewe mbali mno. Hata ungekuwa unatoka peponi. Vimasikini vimekaa kimateso mateso, njaa njaa, uchawi uchawi tuu,
Acha dharau kenge Wewe...umasikini unaweza kukuta ukahaha na ukatokwa kamasi...Hua hatuwadharau wasio nacho hata Siku Moja...

Mtu kutokuwa na hela Sio kigezo kua Sio oe Wala asiolewe...mnatafuta Kama mna bidii ya kazi na mnamuomba Mungu Mambo mbona hubadilika..

Wangapi walianzia chini leo hii wanamaisha ya uchumi wakati..ambayo Wewe unayaita yakitajiri..

Tena uteme mate chini Maana Huo umasikini hakuna ambae hua anautaka.
 
Back
Top Bottom