Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ukitaka salamu nenda Pemba & Unguja,kwangu utaula wa chuya!

Nyinyi ndiyo chanzo cha migogoro kwenye ndoa hadi ndoa nyingi kuvunjika kwasababu ya kuolewa ukiwa umeshaharibiwa.

Mama zenu zamani waliitunza bikra kama vile roho zao,aliyemuoa ndiye aliyeitoa bikra hivyo heshima ilikuwepo na ndoa zilidumu.

Sasa hivi unakuta janamke kabisa bila aibu na woga linamfunulia mwanaume chupi asiyekuwa mumewe!,SHAME ON YOU!

Ukinunua gari jipya kwa mara ya kwanza utalilinda na usingizi huwa unakosa kabisa na kila muda unatamani ulipande.

Ukinunua gari chakavu huwa halina raha na utalitumia mwanzo mwanzo tu kwakuwa unahamu nalo ila linakinai kwasababu limeshachoka.

Lakini Gari jipya kila muda utatamani kwenda nalo kila sehemu watu wakuone.

Huwa nawashangaa sana wanaume kuoa mwanamke ambaye tayari alishakuwa chakula cha watu,hii ni aibu sana.

MVULIE CHUPI MUMEO WA NDOA ILI UHESHIMIKE,ACHENI ZINAA NA UASHERATI.

UKWELI LAZIMA USEMWE.
 
Uki-complicate sana issues maishani ni lazima ukizeeka utagombea uenyekiti wa mtaa au kuwa kachawi.
NB:Omba sana kwa Mungu wako upate mwenza mwenye moyo bikra.Moyo ambao haujawa "corrupted" na mambo ya dunia hii.Baaasssiiiii!🤔
 
Back
Top Bottom