Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 843
- 1,630
Sema bikra zipo nyingi kinoma hata hapa Dar, sema ni under 18. Akili kumkichwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdanganye atauponzaSema bikra zipo nyingi kinoma hata hapa Dar, sema ni under 18. Akili kumkichwa!
Mfumo jike wa shetani umewafanya wanawake kuacha kujitunza ili wazazi wao waheshimike kwa kuozesha binti bikra badala yake unatumika kuwatengeneza wanawake waone kujitunza siyo kazi yao bali ni jukumu la wanaume.. na ndiyo maana hata sasa hivi single maza wengi wameutaka wenyewe ila wanalazimisha source ni mwanaume ili tuu kuendelea kumgandamiza na kumfifisha mwanaumeMbona mabikra nao mnawatoboa hamuwaoi...why?
Maana hayo makundi uliyoyataja yamewahi kuwa bikra...lakini ukawamwagia samli na kutembea🥴
Acha hiyo, sasa hivi unaweza ukaoa mke ambae ni muwe wa mtu vile vile..
Kikubwa we ukiona anaekufaa chukua kuleni ugali.
Hutaki ndoa pia haina tabu, ishi hivyo. Usifanye jambo kisa fulani limemtokea.
Hakuna mwanaume asiye mjua mwanamke kwa sababu ndani ya mwanaume kuna mwanamke , ila ndani ya mwanamke hakuna mwanaume.. unadhani ni kwanini wanaume hatukuwekwa utepe ila mwanamke ndiye aliyepewa alama ya ubikra?Bikra kwa bikra asiye bikra kwa asiye bikra ,unajua wanaume tunatamba sana kwa sababu hatuachi ushahidi nyuma ,laiti kama ungekuta tunabeba mimba sijui ingekuaje🤔🤔🤔
Hatukuwekwa utepe na nan mkuu? Tunaotoa hizo bikra ni wanaume tunaolaumu ni wanaume 🤔Hakuna mwanaume asiye mjua mwanamke kwa sababu ndani ya mwanaume kuna mwanamke , ila ndani ya mwanamke hakuna mwanaume.. unadhani ni kwanini wanaume hatukuwekwa utepe ila mwanamke ndiye aliyepewa alama ya ubikra?
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.Ndugu zangu......
Taasisi ya ndoa mwenyezi Mungu aliiunda kwa nia njema na baraka tele ili hapa duniani binadamu tuweze kukaa kwa maadili ,adabu na malezi mema kwa vizazi vya sasa na vijavyo. Na ndiyo maana aliweka ubikra kwa mwanamke ili aolewe akiwa na alama kwamba hakuwai kumjua mwanaume na pia akaweka ujane kwa mwanamke ili aolewe tena pindi mume wake anapofariki kwa mapenzi ya Mungu na siyo kwa kulazimishwa na mkeww kufa.
Mfumo jike washetani wa haki sawa baina ya mwanaume na mwanamke ulipoingizwa duniani ulikuja kwa lengo la kuangusha ngome za kiume kwa kuwafundisha vijana na mabinti zetu kuwa mifumo waliyoishi wazazi wetu kwenye ndoa ya mwanamke kuwa mtii kwa mume ni mateso, manyanyaso na mifumo dume isiyo na maana yeyote inayo mgandamiza mwanamke, hivyo kumpa mwanamke uhuru, nguvu ya kudai haki, kujilinganisha na mwanaume, kulumbana na kushindana na mwanaume kiasi cha mwanamke kukosa utii na kuangamiza wanaume kupenda na kubakia kulipiza kisasi kwa wanawake kwa kuwachezea, kuwazalisha na kuwatelekeza na hata kuwaua wanawake kabisa au wanaume kuuawa na wake zao
Kwanini na yasema haya.. ili ndoa iwepo lazima kuwepo na mwanamke anye tiii mume na mwanaume anayependa mke.. utii unaleta upendo na upendo unaleta amani na kukaa pamoja kukoseka a haya kumefanya wanaume kuoa wake wa wanaume wenzao
1: KUOA MWANAMKE ASIYE BIKRA HAIJALISHI ALIBAKWA AU HAKUBAKWA
Ndoa ni agano na ili agano nikamilike lazima kuwepo na umwagaji damu na haijalishi ni nyingi au kidogo lazima damu iwepo maana damu inawakilisha uhai.
- Mwanamke anapoolewa akiwa sii bikra maana yake huyo ni mke wa mwanaume aliye mbikiri, hivyo katika ulimwengu wa roho na maswala ya ndoa hapo kunakua hakuna agano la ndoa ila ndoa inabaki kule aliko bikiriwa ila huku mbakua mnaishi bora liende
- Mwanaume ukioa mwanamke asiyebikra sahau kuheshimiwa na kutii kwa mwanamke ili wewe mwanaume utoe upendo . Mwanamke hawezi kufanya hivyo kwako maana teyari mkeo anakua amesha mjua mwanaume hivyo anaishi na wewe kwa kukulinganisha na mwanaume aliye mbikiri huku akiwa na machungu moyoni kutoka kwa mtangulizi wako na ndiyo maana utasikia wanawake wakisema wanaume wote ni umbwa au ni wale wale au ni wabaya . Sasa jiulize kawajuaje wanaume wenzako utapata jibu alibikiriwa hivyo anachoongea ni uchungu uliomoyoni mwake na uchungu huo huo ataingia nao kwenye ndoa ukikaza kichwa na kumuoa
2: KUOA MWANAMKE SINGLE MAZA ( ALIYE ZALISHWA NA KUACHIKA)
hapa utapata wanawake wa aina tatu
i) mwanamke aliyebikiriwa na mwanaume mmoja na kupata mimba ya mwanaume huyo huyo aliye mbikiri na kuachika hapo hapo bila kuendelea kua na wanaume wengine
** Hapa mwanamke anakua na mume mmoja Halali na aliyefungwa kwenye kifungo cha agano la damu na kuimarishwa na agano la uzao la mtoto wao halali ambalo halijachanganywa kabisa kabla.
ii) mwanamke aliyebikiriwa na mwanaume ila hakupata mimba wakaachana, badala yake huyo mwanamke alidanga na wanaume kadha wa kadha na baadae akaja kupata mimba ya mwanaume mwingine alafu akaachika
** Hapa mwanamke anakua na mume mmoja wa agano la damu tuu bila mtoto, alafu baadae unamuona na waume zaidi ya mmoja hapa ana hesabika kua ni malayer , ila baadae anakuja kuingia kwenye agano la uzazi mweza kwa kupitia mtoto aliyekuja kuzalishwa na mwanaume mwingine na kuachika tena
iii) mwanamke aliyebikiriwa akaachwa bila mimba, baadae akadanga akapata mimba akazaa na akaendelea kudanga
** Hapa mwanamke anakua kwenye agano la ndoa kwa damu tuu bila mtoto, baadae anajenga tena nje agano lingine la uzazi mweza kwa kuzaa na mwanaume mwingine baada ya agano la umalayer alafu anaachwa. Baada ya kujifungua anaendelea kudanga hapa utaona mwanamke anakua kwenye ongezeko la agano lingine la ukahaba
Nb. Kwenye haya makundi haijalishi alifunga ndoa au hakufunga ndoa au alibakwa, jiulize wewe mwanaume unaesema umependa na unataka kuoa je, hapo kuna mke au kuna mwanamke mke wa mtu/ watu wa kukusindikiza kwenye kifo chako, na kwa style hii je hapo unakua na ndoa au unakua unachezea uanaume wako , thamani ya ndoa hapa ni ipi zaidi ya kuongeza mke wa mtu, malayer au kahaba kwenye maisha yako.?
Tambua wazi kabisa kwa wanawake hawa heshima na utii huwezi kuupata kamwe zaidi wewe utakua ni kimashine chake aliyekulainisha ukubaliane na makoaa yake ili umrahisishie maisha huku anakudanganya hii ni ndoa
3: KUOA MANAMKE ALIYEISHI UNYUMBA NA MWANAUME KAMA MUME NA MKE
i) Mabinti wa chuo wanaoishi unyumba na kusambaratika bada ya kuhitimu chuo
Kumbuka kundi hili ni baya kuoa sana na haijalishi alikua binti bikra, au alibikiriwa akawa na mpenzi mtaani na baadae wewe ukaja mpata chuoni, haijalishi huyo mwanamke unaekaanae unyumba huko chuoni ni mke wa mtu kaacha mume mjini, pia haijalishi ana angukia kwenye kundi la single maza walioacha watoto kwa wazazi wao nakuja chuoni kujiendeleza alafu baadae wanataka kuja kuolewa tena au kurudi kwenye ndoa zao.
Wanawake wengi hapa hawakai hostel za ndani ya chuo huku ni wale wanawake / mabinti wa chuo wanaopanga chumba na kwenda kuishi unyumba batili na mpenzi wake huku binti akiwa ni mke batili na huyo mpenzi wake akiwa ni mume batili, katika ndoa hii wanaishi maisha ya kuigiza ambayo hayana uhalisia wowote , tena wanaishi bila ya wazazi wao kujua , utakuta mwanamke anajifunza kuona anamuosesha mwanaume vyombo, anadeki , anafua na hata kupika huku akijifunza huo ndiyo uromantik kumbe ni maisha batili.. na baada ya kuhitimu chuo kila mtu anenda kuanza kivyake .
Hapa utakuta mwanamke yupo huru hana usimamizi na anafanya kile anachokitaka, hatawaliki na anatumia gheto lake kama gest wakati mwingine.. alafu wewe mwanaume unataka kuja kumuoa je, ndoa itaku na thamani hapa ?
Ndugu zangu tunajua kabisa mwanamke aliambiwa na Mungu mumewe atamtawala na tamaa zake zitakua juu ya mume wake, tena mbali zaidi sisi wanaume tuliumbwa kuwa vichwa vya wanawake . Kumbuka mwanamke unaetaka kumuoa kama yupo kwenye makundi hayo hapo teyari mwanamke automatically anakua na vichwa zaidi ya kimoja ananakua anatumikia mabwana wawili kimtindo hivyo wewe utakaye oa hautoheshimika utakua tuu kama mume kivuli kwake na mbaya zaidi badala ya wewe kumtawala utajikuta wewe mwanaume umeingizwa kwenye mfumo jike na unatawaliwa na mke na huna cha kufanya, tena utasalitiwa maana huna jipya kama ilivyokua kwa wanaume waliokutangulia na utaona mkeo ni mwenye jeuri, kwako majibu ya hovyo na dharau.
Mbaya zaidi huyo mwanamke utakaye muoa wa kundi hili atakuonyesha waziiwazi hana cha kupoteza kwako kama ambavyo alifanya kwa watangulizi wako, tena atakulinganisha na wanaume wenzako na ikibidi atamiss minyanduo ya huko nje na kwenda kunyanduliwa na ma-X zake . Na ukumbuke kabisa X hatongozwi hakika atanyanduliwa maana anajua mashine za kila aina na kwako anaona kama hatosheki.
Tena kaa ukijua huyo mwanamke utakaye oa kutoka kwenye kundi hili alikua anapewa style za kila aina, ambavyo wewe hutoweza kumpa alikua anapewa na kwako atakua jeuri, pia wapo waliokua wanamla ndogo, wengine wanalamba mbele na nyuma na wengine wanatia vidole kila mahali. Ikumbukwe alikua pia anapakwa mate na kila mubaba na kwako hutokua na jipya zaidi ya hicho cheti uchwara cha ndoa na hela za mahari ulizo zionga kwao ili upewe mbuzi kwenye gunia
Pia ukumbuke shetani atakua ni rafiki wa hicho mnachokiita ndoa iliyofungwa juu ya maagano tangulizi ya ndoa , umalayer wa huyo mkeo na ukahaba wake . Hakika utaishi kwa tabu nae na uchungu mwingi huku wakati mwingine ukiona kabisa mkeo ni kam mwanaume mwezako kwa kugoma kutawalika kutokana na anawanaume waliokutangulia wanakusaidia kukuchapia kwako kafata tuu jina ndoa na wala siyokukufata wewe
Ewe mwanaume jitafakari sana kabla ya kutaka kuingia kwenye ndoa na huyo mwanamke wa kundi hili unayedhani mnapendana kwa maisha ya sasa kaa ukijua ndoa hazina thamani tena mikononi mwa hawa wanawake waliokwisha kua wake za wanaume wenzako kabla ya wewe kujidai unataka ku muoa. Ndoa zimebaki majina tuu na mateso makali mwanaume ukijichanganya kwenye hili kundi, mfumo jike ndiyo wenye nguvu na ukicheza utatawaliwa mpaka uitike abee
Nb: NI MARA MIA USIOE KULIKO KUNASA KWA HAWA WANAWAKE WA KUNDI HILI ILA KUMBUKA WANAWAKE WALIOJITUNZA WAPO KAZI KWAKO
Je, wewe ulitokea tuu kama mzuka, hiyo damu ilitokana na nini.. je, nguvu ya uzazi inafanyaje kazi mpaka mtu anakuwepo . Sauti inatoka wapi ndani ya binadamu na hiyo pumzi kwanini iwe hivyo..? Jiulize kwanza haya maswaliKwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.
Rekebisha sema wanakubali kutolewa huku wanajua siyo sawa kutolewa na haya yanafanyika ndani ya mfumo jikeHatukuwekwa utepe na nan mkuu? Tunaotoa hizo bikra ni wanaume tunaolaumu ni wanaume 🤔
Hayo yote ni maswali, hayathibitishi lolote kwamba Mungu yupo.Je, wewe ulitokea tuu kama mzuka, hiyo damu ilitokana na nini.. je, nguvu ya uzazi inafanyaje kazi mpaka mtu anakuwepo . Sauti inatoka wapi ndani ya binadamu na hiyo pumzi kwanini iwe hivyo..? Jiulize kwanza haya maswali
Nimekuuliza maswali ili kukufikirisha na ujipatie majibu kuhusu swali lako uliloulizaHayo yote ni maswali, hayathibitishi lolote kwamba Mungu yupo.
Nimekwambia thibitisha Mungu yupo.
Unaniuliza mimi nilitokea tu kama mzuka, na mimi nakuuliza huyo Mungu unayemsema alitokeaje? Na yeye alitokea tu kama mzuka?
Basi maji mtaita mma na ndoa za kisasa mkuu....mnavuna mlichokipandaMfumo jike wa shetani umewafanya wanawake kuacha kujitunza ili wazazi wao waheshimike kwa kuozesha binti bikra badala yake unatumika kuwatengeneza wanawake waone kujitunza siyo kazi yao bali ni jukumu la wanaume.. na ndiyo maana hata sasa hivi single maza wengi wameutaka wenyewe ila wanalazimisha source ni mwanaume ili tuu kuendelea kumgandamiza na kumfifisha mwanaume
Tena mfumo jike umeleta kijana ukimpa binti mimba badala wakuptanishe ubanwe ufunge ndoa na wakufatilie unahudumia ndoa.. ila wanakuja kwa njia ya kutenganisha na kuongeza single maza kwa kumshikilia mwanaume gerezani muda mrefu huku mke wake na mwanae wakiteseka huko duniani