Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sina mke nimepita "demu" kwakua nipo nae kwenye mahusiano na sina mpango wa kumuoa zaidi ya kumchezea mpaka pale nitakapompata BIKRA ndio nitaoa

Sasa kama hauko kwenye ndoa, unahangaika nini?

Hizo bikra wanawake wanaziondoa wenyewe?

Unachezea watoto wa watu alafu unakuja humu kuanzisha nyuzi kabisa kuwa wanaume hawaoi mabikra WHILE you're part of the problem.

Unaonaje akili yako tuipeleke kwa fundi tukaipige window?

Una umri gani?
 
Njoo geto sista utengeneze akili yangu kama haipo Sawa,
Kwani hao wanawake wanabakwa? Si wanajipeleka magetoni na chupi wanavuka wenyewe?
 
Sasa kama hauko kwenye ndoa, unahangaika nini?

Hizo bikra wanawake wanaziondoa wenyewe?

Unachezea watoto wa watu alafu unakuja humu kuanzisha nyuzi kabisa kuwa wanaume hawaoi mabikra
WHILE you're part of the problem.

Unaonaje akili yako tuipeleke kwa fundi tukaipige window?

Una umri gani?
Kwa nilivyoelewa mimi huyo anamchezea kwa sababu kamkuta tayari kopo bikra hana.
 
Back
Top Bottom