Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwani mashoga huwa mnatolewa mahali? (màhari)Sawa njoo unitolee mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mashoga huwa mnatolewa mahali? (màhari)Sawa njoo unitolee mahali
Kwani uongo hakikisheni hamtotoi watoto wakike wazuri...sie baba akili fyatu tutapita naoYaani umgegede bintiyo🤔, kwa hizo fikra zenu , yote yanawezekana.
Nataka ndio...ila sasa sijui ni nini, fanya mchakato basi, hiyo between unataka na emoji yako sitakivip we hutaki au unataka bikira😂😂
Ulibikiriwa lini ewe usedKila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake
Wakwako ndio huu.
Sawa kuja upewe kisimaNataka ndio...ila sasa sijui ni nini, fanya mchakato basi, hiyo between unataka na emoji yako sitaki
Ngoja navaa kofia la pama hapa, chapu utasikia hodi 😂Sawa kuja upewe kisima
Hahahaha 😂 😂 😂 kwanini pamaNgoja navaa kofia la pama hapa, chapu utasikia hodi 😂
Naficha uso wanJF si wanakaa barazani hapo kwako, nalishusha mpaka levo ya macho nikikuangalia nanyanyua uso 😂😂😂Hahahaha 😂 😂 😂 kwanini pama
ila watu jamani hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾Naficha uso wanJF si wanakaa barazani hapo kwako, nalishusha mpaka levo ya macho nikikuangalia nanyanyua uso 😂😂😂
Mimi mwenywe nimeandika nacheka, halafu i imagine nimefika na kunyanyua uso, huku wewe mlangoni wasema karibu ndaniii 😂 😂 😂 😂ila watu jamani hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha basi naweweMimi mwenywe nimeandika nacheka, halafu i imagine nimefika na kunyanyua uso, huku wewe mlango wasema karibu ndaniii 😂 😂 😂 😂
Have good night Ms R, ntakuachia pama 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha basi nawewe
Asante nawewe pia😂😂😂😂Have good night Ms R, ntakuachia pama 🤣🤣🤣
Kwanza kabisa wanawake wote wakijitunza wanaume watafanya na kina nani kabla ya ndoa, halafu wenye shida na hizo bikira ni wanaume siyo wanawake hivyo wanaume ndio wanatakiwa wafanye namna ili hizo bikira ziendelee kuwepo, labda wewe uniambie mwanamke akitolewa bikira kabla ya ndoa anapata madhara gani yanayomdhuru yeye moja kwa mojaSijamtukana sista na kwanini ukasirike kuona mada yenye mafunzo kwa wanaume juu ya kudhamini bikra? Huoni kwamba unajitia aibu kutetea uzinifu badala ya kusisitiza wanawake kujitunza??? Kumbuka wanawake wenyewe ndio wa nakubali kubikiriwa na Wala usisingizie mwanaume tena wanawake wengi walivyo wajinga wanaona kuwa bikra ni ushamba
Wanawake wakijitunza bikra zitakuwepo usiwaze lawama wanaume wakati wanwake ndio wanaona fashion kufumuliwa bikra tena wengine kutolewa na rinder, nikuulize kuna madhara gani mwanamke akajitunza bikra yake ili mme wake aje kumuoa akiwa msafi?Kwanza kabisa wanawake wote wakijitunza wanaume watafanya na kina nani kabla ya ndoa, halafu wenye shida na hizo bikira ni wanaume siyo wanawake hivyo wanaume ndio wanatakiwa wafanye namna ili hizo bikira ziendelee kuwepo, labda wewe uniambie mwanamke akitolewa bikira kabla ya ndoa anapata madhara gani yanayomdhuru yeye moja kwa moja
Hakuna mwanamke bikira atatoka from nowhere na kutaka kufumuliwa marinda wanaume ndio huanza kuwashawishi wanawake kisha wanawake wakishazoea ndio wanaharibikiwa, sasa kama mnajua kwamba mwanamke akijitunza anayefaidika ni mwanaume kwa kuoa mke msafi kwanini hao wanaume nao wasifanye jitihada ili hao wanawake wajitunze, suluhisho pekee ni wanaume kuacha kutongoza na kushawishi mabinti wa watu ilihali wanajua hawana malengo nao bali wanataka kuwachezea tu siyo mnawalaumu mabinti kwa kukubali kana kwamba wao ni malaika ilihali ninyi ndio wenye shida na hizo bikira za wanawakeWanawake wakijitunza bikra zitakuwepo usiwaze lawama wanaume wakati wanwake ndio wanaona fashion kufumuliwa bikra tena wengine kutolewa na rinder, nikuulize kuna madhara gani mwanamke akajitunza bikra yake ili mme wake aje kumuoa akiwa msafi?
Kwanini huyo mwenye bikra asiitunze mpaka asubiri mwanaume aje kumtunza? Naelewa unachokiandika?? Yani K anayo mwanamke alafu useme mwanaume ndio aitunze, wewe kwakua huwezi kujitunza usilazimishe kwamba hamna mwanamke anaeweza kujitunza naona hujakutana na wasichana wenzako wenye msimamo yani unakuta hata ufanyaje huwezi kumla na ndicho kipimo cha uaminifu kwa mwanamke sahihi wa kuoa kwakua wameweza kuepukana na vishawishi vya kila aina,Hakuna mwanamke bikira atatoka from nowhere na kutaka kufumuliwa marinda wanaume ndio huanza kuwashawishi wanawake kisha wanawake wakishazoea ndio wanaharibikiwa, sasa kama mnajua kwamba mwanamke akijitunza anayefaidika ni mwanaume kwa kuoa mke msafi kwanini hao wanaume nao wasifanye jitihada ili hao wanawake wajitunze, suluhisho pekee ni wanaume kuacha kutongoza na kushawishi mabinti wa watu ilihali wanajua hawana malengo nao bali wanataka kuwachezea tu siyo mnawalaumu mabinti kwa kukubali kana kwamba wao ni malaika ilihali ninyi ndio wenye shida na hizo bikira za wanawake
Wewe kama sio bikra jikaze tu ukiendelea kuomba upate li simp lisilojua thamani ya mwamke aliejitunza ndio like likuoeUmewatoa wangapi hizo bikra? Je wote umewaoa? If no ndiyo hivo, kwanza bikra ndiyo itakupikia na kukubembeleza? Oa mtu unayempenda whether bikra or not muhimu mnapendana