Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Naficha uso wanJF si wanakaa barazani hapo kwako, nalishusha mpaka levo ya macho nikikuangalia nanyanyua uso 😂😂😂
ila watu jamani hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾 🙌🏾
 
Mimi mwenywe nimeandika nacheka, halafu i imagine nimefika na kunyanyua uso, huku wewe mlangoni wasema karibu ndaniii 😂 😂 😂 😂
 
Mimi mwenywe nimeandika nacheka, halafu i imagine nimefika na kunyanyua uso, huku wewe mlango wasema karibu ndaniii 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Acha basi nawewe
 
Sijamtukana sista na kwanini ukasirike kuona mada yenye mafunzo kwa wanaume juu ya kudhamini bikra? Huoni kwamba unajitia aibu kutetea uzinifu badala ya kusisitiza wanawake kujitunza??? Kumbuka wanawake wenyewe ndio wa nakubali kubikiriwa na Wala usisingizie mwanaume tena wanawake wengi walivyo wajinga wanaona kuwa bikra ni ushamba
Kwanza kabisa wanawake wote wakijitunza wanaume watafanya na kina nani kabla ya ndoa, halafu wenye shida na hizo bikira ni wanaume siyo wanawake hivyo wanaume ndio wanatakiwa wafanye namna ili hizo bikira ziendelee kuwepo, labda wewe uniambie mwanamke akitolewa bikira kabla ya ndoa anapata madhara gani yanayomdhuru yeye moja kwa moja
 
Wanawake wakijitunza bikra zitakuwepo usiwaze lawama wanaume wakati wanwake ndio wanaona fashion kufumuliwa bikra tena wengine kutolewa na rinder, nikuulize kuna madhara gani mwanamke akajitunza bikra yake ili mme wake aje kumuoa akiwa msafi?
 
Hakuna mwanamke bikira atatoka from nowhere na kutaka kufumuliwa marinda wanaume ndio huanza kuwashawishi wanawake kisha wanawake wakishazoea ndio wanaharibikiwa, sasa kama mnajua kwamba mwanamke akijitunza anayefaidika ni mwanaume kwa kuoa mke msafi kwanini hao wanaume nao wasifanye jitihada ili hao wanawake wajitunze, suluhisho pekee ni wanaume kuacha kutongoza na kushawishi mabinti wa watu ilihali wanajua hawana malengo nao bali wanataka kuwachezea tu siyo mnawalaumu mabinti kwa kukubali kana kwamba wao ni malaika ilihali ninyi ndio wenye shida na hizo bikira za wanawake
 
Umewatoa wangapi hizo bikra? Je wote umewaoa? If no ndiyo hivo, kwanza bikra ndiyo itakupikia na kukubembeleza? Oa mtu unayempenda whether bikra or not muhimu mnapendana
 
Kwanini huyo mwenye bikra asiitunze mpaka asubiri mwanaume aje kumtunza? Naelewa unachokiandika?? Yani K anayo mwanamke alafu useme mwanaume ndio aitunze, wewe kwakua huwezi kujitunza usilazimishe kwamba hamna mwanamke anaeweza kujitunza naona hujakutana na wasichana wenzako wenye msimamo yani unakuta hata ufanyaje huwezi kumla na ndicho kipimo cha uaminifu kwa mwanamke sahihi wa kuoa kwakua wameweza kuepukana na vishawishi vya kila aina,
N. B mwanamke asie bikra hatolewi mahari
 
Umewatoa wangapi hizo bikra? Je wote umewaoa? If no ndiyo hivo, kwanza bikra ndiyo itakupikia na kukubembeleza? Oa mtu unayempenda whether bikra or not muhimu mnapendana
Wewe kama sio bikra jikaze tu ukiendelea kuomba upate li simp lisilojua thamani ya mwamke aliejitunza ndio like likuoe
 
Back
Top Bottom