Nikwel haifai kudhihaki imani ya mtu,,sisi ktk imani yetu tunahusiwa sana kuongea jambo ambalo una elimu nalo, kama jambo hauna elimu nalo bc tunakemewa vikali sana kutolizungumzia, sina tatzo na hoja yko,, kama uyo muimbaji amekosea lzma akemewe,.nlichojarb kukukumbsha tu kuhusu msikti, maana hadi me mwnyew najikuta yani naingia uoga jinsi unvyopaelezea,.ilo ndio tatzo ykuelezea kitu husichokijua, km muimbaji unayemshutumu pengne nae hata hakujua maana ya ilo neno kakurupuka tu....!!
Kwahiyo imani yenu ni Hallelujah, au?!
Au Mwislamu hawezi kumsifu Mungu kwa kile alichomfanyia kama ambavyo Diamond anavyomsifu Mungu baada ya kumpa demu mkali?!
Nyie watu acheni kukariri! Hallelujah is just a word. Endapo originally Bible ingekuwa imeandikwa kwa Kiswahili, original texts zisingekuwa na hilo neno kwa sababu Hallelujah has nothing to do with Christianity but is just a word lenye tafsiri ya Tumsifu Mungu (Jah).
Na ndio maana hata kwenye Bible ya Kiswahili kuna maneno "Tumsifu Mungu" kwa sababu ndio tafsiri ya neno Hallelu
jah!!!
FYI, neno Hallelujah lipo hadi kwenye Biblia ya Kiyahudi! Wayahudi wale wale ambao wanamuita Yesu ni shetani! Hilo neno lipo kwa sababu ni neno la Kihebrania ambalo halina uhusiano wowote na Ukristo bali lina lina uhusiano na Mungu!
Na ingawaje kwa imani ya Kristo, Yesu nae ni Mungu, y'all know neno hilo haliwakilishi Mungu Mwana bali Mungu Baba, kwa sababu, ni Mungu Baba ndie lugha mbalimbali zinamuita
Jah! Na ndio maana hata nyinyi wenyewe penye kumsifu Mungu Baba mnasema "Tumsifu Mungu" na penye kumsifu Mungu Mwana mnasema "Tumsifu Yesu Kristo!"
Au unataka kusema hiyo Hallelujah ni tafsiri ya "Tumsifu Yesu Kristo/Tumsifu Mungu Mwana?"
Zaburi 150:6-"Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu!
Msifuni Mwenyezi-Mungu!"
Mwenyezi Mungu huyo ni Mungu Mwana/Yesu au Mungu Baba?!
Kama ni Mungu Mwana basi mnayo haki ya kusema anadhihaki imani za wengine (Ukristo)!
Lakini kama ni Mungu Baba, hiyo exclusive right ya Wakristo peke yao ndio wenye haki ya kumsifu Mungu wa wote mmeitoa wapi?!
Again, Psalm 150:6 (King James version) inasema:"Let every thing that hath breath praise the LORD.
Praise ye the LORD."
And Darby's English Translation: "150:6 Let everything that hath breath
praise Jah.
Hallelujah!"
Kwanini kwenye Darby's bible ndo kuna neno Hallelujah? Kwa sababu, Darby's bible inatumia original words used in the bible ambayo mengi ni ya Kihebrania na Kigiriki! Na huko ndiko limetoka neno Halleluyah!
Kwahiyo aya hiyo hiyo, Kiswahili imeandika "Msifuni Mungu" English (King James) imetumia "
Praise ye the Lord" na Darby's translation imetumia neno
Hallelujah!
WHY? Because that's just a word lenye tafsiri zake kwa lugha mbalimbali na wala sio kwamba eti Hallelujah ni Ukristo?!
And look, hiyo ni Psalm/Zaburi ambayo ndani yake limetumika neno Hallelujah!! Je, Zaburi/Psalm ni sehemu ya Injili ya Yesu hadi muone kwamba neno Hallelujah
Wakristo na Waislamu ni watumwa wa hizi dini kwa sababu hamsomi na kujaribu kutafuta asili ya haya mambo!!!