pharaoh_2
Senior Member
- Jun 25, 2015
- 143
- 123
[emoji3][emoji16][emoji23] kitoto cha nguruweWakristo sisi wapole sana! We jaribu hata kupita na kitoto cha nguruwe maeneo yao[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji16][emoji23] kitoto cha nguruweWakristo sisi wapole sana! We jaribu hata kupita na kitoto cha nguruwe maeneo yao[emoji3]
Hajachezea upande wake upi dada Stella?! Na huo upande wenu anaochezea anauchezea kivipi Binti wa Mzee Njimbwi?Kwl mbona ajamchezea upande wake adi kwetu tu ufungiwe.
Hata kuimba, kushabikia na kusikiliza bongo fleva ni DHAMBI. Hakuna msanii wa bongo fleva mkristo, wote wala bata kwahiyo fanya yakoHalellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.
666Halellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.
Vita yetu sisi si juu ya damu na nyama!Upole wenu ulimpoza Yesu, akala kibano msalabani.
Kwahiyo imani yenu ni Hallelujah, au?!Nikwel haifai kudhihaki imani ya mtu,,sisi ktk imani yetu tunahusiwa sana kuongea jambo ambalo una elimu nalo, kama jambo hauna elimu nalo bc tunakemewa vikali sana kutolizungumzia, sina tatzo na hoja yko,, kama uyo muimbaji amekosea lzma akemewe,.nlichojarb kukukumbsha tu kuhusu msikti, maana hadi me mwnyew najikuta yani naingia uoga jinsi unvyopaelezea,.ilo ndio tatzo ykuelezea kitu husichokijua, km muimbaji unayemshutumu pengne nae hata hakujua maana ya ilo neno kakurupuka tu....!!
Maana yake ni kutukuza...linatumika kiimani na hata si kiimnani...kwa kifupi jamaa anamsifia/praise mremboHajasema haleluya.
Pia haleluya Ni neno lenye maana ya kristu amefufuka
Maneno ya kutunga tunga tuu, hayana mbele wa nyuma !Vita yetu sisi si juu ya damu na nyama!
Takbiir ndio sawa na Halleluyaah ewe Mgala. Kisha unaitikia 'Allahu Akbar'Kwanin asiseme Alahwakbar akasema haleluyah hii ni dhihaka kwa wakriso