Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Akili za hovyo kabisa hizi!!!

Kwani unapopata pesa huwa humtukuzi Mungu?! Nini kinafuata unapopata pesa kama sio pesa hizo hizo wakati mwingine hazitumiki kwa mambo ambayo ni machukizo kwa Mungu!!!

Btw, yeye anamtukuza Mungu kwa kucheza na kuimba muziki au anamtukuza Mungu kwa kumpa mwanamke mzuri?!

Yaani hivi sasa ndo nafahmu kwanini FaizaFoxy alikuwa anawauliza "Hivi huko shule mnaenda kusomea ujinga?"

Ndo wale wale utaowasikia Asalaam Aleykum ni salamu ya Kiislamu bila kufahamu hata Waarabu wakristo au Waarabu Wayahudi ndivyo wanavyosalimiana cuz' that's just greetings in Arabic kama ilivyo Hallelujah nalo is just a English world lilitokana na KIhebrania likimaanisha Tumsifu Mungu!!!

Halafu watu kama nyinyi endapo jina la wimbo lingekuwa Tumsifu Mungu wala hivi viroja msingeleta lakini kwavile mmeona Hallelujah ndo mnadhani Hallelujah ndo Ukristo kama mnavyodhani Asalaam Alyekum ni Uislamu!!!
 
Kwl mbona ajamchezea upande wake adi kwetu tu ufungiwe.
Hajachezea upande wake upi dada Stella?! Na huo upande wenu anaochezea anauchezea kivipi Binti wa Mzee Njimbwi?

Au Hallelujah ni Ukristo, au?! Huyo wa upande wenu aliyemchezea ni nani? Yesu, au?! Kama ni Yesu, ni vipi amemchezea kwa kutumia neno Hallelujah?!
 
Halellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.
Hata kuimba, kushabikia na kusikiliza bongo fleva ni DHAMBI. Hakuna msanii wa bongo fleva mkristo, wote wala bata kwahiyo fanya yako
 
Halellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.
666
 
Mi pia ilibidi niende Google translate nikidhani labda Hallelujah ina maana nyingine kumbe hakuna. Atakua anamtukuza mungu wake wa freemason sio Mungu Mwenyezi
 
Unanukumbusha enzi za movie ya THE DAVINCI CODE.

Yesu/MUNGU ni mkubwa kupita kila kitu,ile muvi ilipata umaarufu/attention ya dunia nzima, lakini hata miaka 10 haijaisja ile muvi iko chali.

Waache watu wasikilize wapakue nk ili wazidi kumjua yeye aliye juu, nnatumaini watu mbali mbali wasiojua maana ya halleluya wataijua tu.
 
Kwan kuna tatizo gan kwan si huwa mnainbaga makanisan na kumtukuza bwana huku mmevaa vimin sasa kuimba yeye imekuwa gumzo.
 
Nikwel haifai kudhihaki imani ya mtu,,sisi ktk imani yetu tunahusiwa sana kuongea jambo ambalo una elimu nalo, kama jambo hauna elimu nalo bc tunakemewa vikali sana kutolizungumzia, sina tatzo na hoja yko,, kama uyo muimbaji amekosea lzma akemewe,.nlichojarb kukukumbsha tu kuhusu msikti, maana hadi me mwnyew najikuta yani naingia uoga jinsi unvyopaelezea,.ilo ndio tatzo ykuelezea kitu husichokijua, km muimbaji unayemshutumu pengne nae hata hakujua maana ya ilo neno kakurupuka tu....!!
Kwahiyo imani yenu ni Hallelujah, au?!

Au Mwislamu hawezi kumsifu Mungu kwa kile alichomfanyia kama ambavyo Diamond anavyomsifu Mungu baada ya kumpa demu mkali?!

Nyie watu acheni kukariri! Hallelujah is just a word. Endapo originally Bible ingekuwa imeandikwa kwa Kiswahili, original texts zisingekuwa na hilo neno kwa sababu Hallelujah has nothing to do with Christianity but is just a word lenye tafsiri ya Tumsifu Mungu (Jah).

Na ndio maana hata kwenye Bible ya Kiswahili kuna maneno "Tumsifu Mungu" kwa sababu ndio tafsiri ya neno Hallelujah!!!

FYI, neno Hallelujah lipo hadi kwenye Biblia ya Kiyahudi! Wayahudi wale wale ambao wanamuita Yesu ni shetani! Hilo neno lipo kwa sababu ni neno la Kihebrania ambalo halina uhusiano wowote na Ukristo bali lina lina uhusiano na Mungu!

Na ingawaje kwa imani ya Kristo, Yesu nae ni Mungu, y'all know neno hilo haliwakilishi Mungu Mwana bali Mungu Baba, kwa sababu, ni Mungu Baba ndie lugha mbalimbali zinamuita Jah! Na ndio maana hata nyinyi wenyewe penye kumsifu Mungu Baba mnasema "Tumsifu Mungu" na penye kumsifu Mungu Mwana mnasema "Tumsifu Yesu Kristo!"

Au unataka kusema hiyo Hallelujah ni tafsiri ya "Tumsifu Yesu Kristo/Tumsifu Mungu Mwana?"

Zaburi 150:6-"Kila kiumbe hai kimsifu Mwenyezi-Mungu! Msifuni Mwenyezi-Mungu!"
Mwenyezi Mungu huyo ni Mungu Mwana/Yesu au Mungu Baba?!

Kama ni Mungu Mwana basi mnayo haki ya kusema anadhihaki imani za wengine (Ukristo)!

Lakini kama ni Mungu Baba, hiyo exclusive right ya Wakristo peke yao ndio wenye haki ya kumsifu Mungu wa wote mmeitoa wapi?!

Again, Psalm 150:6 (King James version) inasema:"Let every thing that hath breath praise the LORD. Praise ye the LORD."
And Darby's English Translation: "150:6 Let everything that hath breath praise Jah. Hallelujah!"

Kwanini kwenye Darby's bible ndo kuna neno Hallelujah? Kwa sababu, Darby's bible inatumia original words used in the bible ambayo mengi ni ya Kihebrania na Kigiriki! Na huko ndiko limetoka neno Halleluyah!

Kwahiyo aya hiyo hiyo, Kiswahili imeandika "Msifuni Mungu" English (King James) imetumia "Praise ye the Lord" na Darby's translation imetumia neno Hallelujah!

WHY? Because that's just a word lenye tafsiri zake kwa lugha mbalimbali na wala sio kwamba eti Hallelujah ni Ukristo?!

And look, hiyo ni Psalm/Zaburi ambayo ndani yake limetumika neno Hallelujah!! Je, Zaburi/Psalm ni sehemu ya Injili ya Yesu hadi muone kwamba neno Hallelujah

Wakristo na Waislamu ni watumwa wa hizi dini kwa sababu hamsomi na kujaribu kutafuta asili ya haya mambo!!!
 
Hajasema haleluya.

Pia haleluya Ni neno lenye maana ya kristu amefufuka
Maana yake ni kutukuza...linatumika kiimani na hata si kiimnani...kwa kifupi jamaa anamsifia/praise mrembo
 
Kwanin asiseme Alahwakbar akasema haleluyah hii ni dhihaka kwa wakriso
Takbiir ndio sawa na Halleluyaah ewe Mgala. Kisha unaitikia 'Allahu Akbar'
'Tumsifu Mungu......Mungu ni Mkuu !
 
Back
Top Bottom