Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nchi ina wapumbavu wengi sana hii!! Tanganyika huru ndiyo nini?9th Novambre 2023.
Siku ya kuongea Kwa vitendo,
Tanganyika huru haitarudi Bure, lazima ilipwe gharama.
Aluta continua.
Amen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ina wapumbavu wengi sana hii!! Tanganyika huru ndiyo nini?9th Novambre 2023.
Siku ya kuongea Kwa vitendo,
Tanganyika huru haitarudi Bure, lazima ilipwe gharama.
Aluta continua.
Amen.
Wasamehe bure tu maana wengine wanaingia jukwaani wakiwa wamevurugwa akili.Nchi ina wapumbavu wengi sana hii!! Tanganyika huru ndiyo nini?
Kwanini hukuungana nao kuandamana? Si mlisema hamuogopi kitu?Huoni polisi Mbeya wameandamana siku 3?
Uko wap mkuu, mbona sisi tupo kwenye maandamano na sikuoni9th Novambre 2023.
Siku ya kuongea Kwa vitendo,
Tanganyika huru haitarudi Bure, lazima ilipwe gharama.
Aluta continua.
Amen.
Ulipo tupo.💪🔥🔥Uko wap mkuu, mbona sisi tupo kwenye maandamano na sikuoni
Maandamano mlipanga zaidi ya mwezi kabla, halafu ety zimebaki masaa ety ndo yupo jikoni 😂Mdude yupo jikoni anaweka mipango sawa, sisi hatuna hata wembe, maandamano ni ya amani. Tulia dada angu uone kitakachotokea
Maandamano ya kisayansi mzeeMaandamano mlipanga zaidi ya mwezi kabla, halafu ety zimebaki masaa ety ndo yupo jikoni 😂
Pumbavu zenuMaandamano ya kisayansi mzee
Sawa dada anguPumbavu zenu