Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Maandamano ya mdudu ni Fujo hoja zenu zishajibiwa na mmegoma kuelewa!! So mkipigwa risasi ni halali yenu na mfe kabisa
Zile hoja zilitolewa majibu sio majawabu. Hata tukifa ni sawa tu kuliko kuishi kwa kuburuzwa na tutakuwa tumekufa kishujaa.
 
Hao wahuni ni lazima wadhibitiwe vizuri ili wasichafue Taswira ya jiji la mbeya. Mbeya haitaki maandamano na wala haina mahitaji ya maandamano. Mbeya siyo uwanja wa kufanyia majaribio ya kila ujinga kutoka kwa kichaa na mwendawazimu yeyote yule anayejisikia tu kufanya yake akishalewa mipombe na kuvuta mibangi yake. Mbeya inahitaji maendeleo na miradi ya maendeleo kama ambavyo imekuwa ikiletwa kwa sasa na serikali ya Rais samia.mbeya inahitaji huduma za kijamii na siyo maandamano.

Mbeya hatutaki maandamano,Mbeya hatutaki kurudishwa nyuma wala kurejeshwa kwenye kuliharibu jiji letu kwa mikono yetu wenyewe.kwa sasa Mbeya na wanambeya wapo Bize makazi ya kuijenga Mbeya na kuijileteea maendeleo.

Polisi nawasihi msicheke na wahuni,msiwape nafasi wahuni .msiruhusu Mbeya kuwa mkoa wa kufanyia uhuni kutoka kwa wahuni.
Tulia we mrembo.
 
Nataka nione ukiandamana maana unapigaga makelele yako humu kila siku.sasa kama wewe mwanaume basi nataka uingie barabarani na mke wako ili uonyeshwe kazi na kushikishwa adabuu.
Bahati yako siko Mbeya, nilitaka uje na Basha wako mnizuie.
 
Yuko tayari kulengwa wore 60m tunaotaka katiba mpya. Wewe ni wale mnaopata promotion kwa kuuwa watu?
Acha blaa blaa na porojo zako hapa .kama unajiamini wewe ingia barabarani ili ushikishwe adabu utakayokwenda kumsimulia mkeo na watoto wako huku ukibubujikwa machozi yasiyokatika.
 
View attachment 2807863

Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri:

"Silence gives consent."

Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa.

Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT:

"Kuna tetesi za polisi Mbeya kuandaa risasi za bahati mbaya kuuwa na kujeruhi watu kesho."

View attachment 2807884

Bahati mbaya inapigiwa je mahesabu yake leo?

"Wewe ni muislam mwenye hofu ya Mungu."

Kulikoni haja ya majibu ya hoja kupangiwa majibu ya risasi, virungu, kujeruhi au kuuw
Kemea polisi hawa wenye wajibu kama wewe na sote wengine wa kuilinda katiba ya nchi.

Kulikoni wengine kukuchumia wewe dhambi hata mbele za Mola?

Kulikoni usitume mwakilishi wako kuwasikiliza wananchi hawa wasiokuwa na chembe ya shari akakuletea mrejesho?

Kulikoni kutaka kuipoteza fursa hii ya kuiunganisha nchi kwa vitendo?
Nendeni mkavunjwe ugoko zenu wapumbavu nyie hamna cha kufanya zaidi ya kutuletea mitafaruku ya kipumbavu.

Mdude anataka Katiba Mpya, mbona kaishi mpaka hapo na Katiba ya zamani
 
Bahati yako siko Mbeya, nilitaka uje na Basha wako mnizuie.
Mnafiki mkubwa wewe.kwani hayo maandamano yametangazwa leo hadi useme hupo Mbeya? Si unasemaga unataka machafuko? Kwanini hujaja Mbeya kukichafua ili uone utakavyochakazwa na kuchafuliwa sura lako? Wewe ni mpiga porojo tu na blaa blaa tu kama mlevi .

Andamana huko huko uliko kama unajiamini na siyo kupiga porojo hapa jukwaani.
 
Usipanic mrembo, hili game halitaki hasira. Nimekuambia ungeniambia umeenda Mbeya na Basha wako kuniuzia ningekuja nione jeuri yako na huyo basha wako. Hao waliopo Mbeya wanatosha.
 
Tena ntakua front line tukutane kabwe stand,
Ingia tu barabarani na siyo kuja kuandamana humu jukwaani huku umejificha kwenye feki ID. Kaka wewe kidume nataka uingie barabarani kwa miguu yako na akili yako Timamu ili uone utarudi na kipi kati ya ulivyoingia navyo barabarani.hii nchi haina nafasi ya wahuni na wavuta bangi kuleta uhuni wao na mibangi yao katika shughuli za watu.
 
Usipanic mrembo, hili game halitaki hasira. Nimekuambia ungeniambia umeenda Mbeya na Basha wako kuniuzia ningekuja nione jeuri yako na huyo basha wako. Hao waliopo Mbeya wanatosha.
Nenda na wewe ujumuike nao na siyo kupiga soga humu jukwaani halafu unasukumiza wengine kwenda kuvunjwa viuno .tapeli mkubwa wewe Tindo 😄😄😄😄
 
Ingia tu barabarani na siyo kuja kuandamana humu jukwaani huku umejificha kwenye feki ID. Kaka wewe kidume nataka uingie barabarani kwa miguu yako na akili yako Timamu ili uone utarudi na kipi kati ya ulivyoingia navyo barabarani.hii nchi haina nafasi ya wahuni na wavuta bangi kuleta uhuni wao na mibangi yao katika shughuli za watu.
Ntarekodi video kwa ajili yako na hao wanaokutuma tunza hii comment vzr,
 
Nenda na wewe ujumuike nao na siyo kupiga soga humu jukwaani halafu unasukumiza wengine kwenda kuvunjwa viuno .tapeli mkubwa wewe Tindo 😄😄😄😄
Ww utakuwa na basha wako hapo Mbeya kuwazuia waandamanaji, au ww unawatuma polisi wasiojielewa?
 
Back
Top Bottom