Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

View attachment 2807863

Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri:

"Silence gives consent."

Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa.

Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT:

"Kuna tetesi za polisi Mbeya kuandaa risasi za bahati mbaya kuuwa na kujeruhi watu kesho."

View attachment 2807884

Bahati mbaya inapigiwa je mahesabu yake leo?

"Wewe ni muislam mwenye hofu ya Mungu."

Kulikoni haja ya majibu ya hoja kupangiwa majibu ya risasi, virungu, kujeruhi au kuuwa?

Kemea polisi hawa wenye wajibu kama wewe na sote wengine wa kuilinda katiba ya nchi.

Kulikoni wengine kukuchumia wewe dhambi hata mbele za Mola?

Kulikoni usitume mwakilishi wako kuwasikiliza wananchi hawa wasiokuwa na chembe ya shari akakuletea mrejesho?

Kulikoni kutaka kuipoteza fursa hii ya kuiunganisha nchi kwa vitendo?
Kesho niwahi pale kambini FFU nichukie lile rungu linan'gaaga kama limepakwa mafuta, afande mwita huwa analiwahi Kila siku, ila kesho atanikuta nalo, nikimkosa mwambuzi kiuno, kichwa au ugoko, basi, ana Mungu wake
 
Acha blaa blaa na porojo zako hapa .kama unajiamini wewe ingia barabarani ili ushikishwe adabu utakayokwenda kumsimulia mkeo na watoto wako huku ukibubujikwa machozi yasiyokatika.

Blaa blaa ndiyo nini? Ngoja wanaume tukakutafitie katiba njema na rasilimali za nchi Kwa ajili yako na hata watoto wa wajukuu zako.

johnthebaptist keshakugawia uniform?

vbzIrq8U.jpeg
 
Kesho niwahi pale kambini FFU nichukie lile rungu linan'gaaga kama limepakwa mafuta, afande mwita huwa analiwahi Kila siku, ila kesho atanikuta nalo, nikimkosa mwambuzi kiuno, kichwa au ugoko, basi, ana Mungu wake

Rungu halitoshi kachukue na uniform yako kabisa:
 
Attachments

  • vbzIrq8U.jpeg
    vbzIrq8U.jpeg
    38.6 KB · Views: 1
Zile hoja zilitolewa majibu sio majawabu. Hata tukifa ni sawa tu kuliko kuishi kwa kuburuzwa na tutakuwa tumekufa kishujaa.
Hizo ni Fujo serikali haiwezi kukubali kuyumbishwa watu walioamua kupotosha makusudi Kwa sababu zao binafsi za kutafuta ujiko wa kisiasa!!
 
View attachment 2807863

Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri:

"Silence gives consent."

Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa.

Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT:

"Kuna tetesi za polisi Mbeya kuandaa risasi za bahati mbaya kuuwa na kujeruhi watu kesho."

View attachment 2807884

Bahati mbaya inapigiwa je mahesabu yake leo?

"Wewe ni muislam mwenye hofu ya Mungu."

Kulikoni haja ya majibu ya hoja kupangiwa majibu ya risasi, virungu, kujeruhi au kuuwa?

Kemea polisi hawa wenye wajibu kama wewe na sote wengine wa kuilinda katiba ya nchi.

Kulikoni wengine kukuchumia wewe dhambi hata mbele za Mola?

Kulikoni usitume mwakilishi wako kuwasikiliza wananchi hawa wasiokuwa na chembe ya shari akakuletea mrejesho?

Kulikoni kutaka kuipoteza fursa hii ya kuiunganisha nchi kwa vitendo?
Hao waandamanaji ni majobless? Kama Kuna watumishi, Wana ruhusa ya kutokwenda kazini kisa wanaandamana? Hatutaki badae kusikia watu wanalialia. Anyways, Kila la heri kama mtaandamana kweli maana Mange Kimambi anawajua kweli mlivyo wazugaji nyie Chadema!
 
Sijakuelewa
subiri kidogo nipo field muda huu hali ni shwari hakuna jambazi yeyote barabarani, wafanya kazi na wafanya biashara wanaendea na shughuli zao kama kawaida....

Ni gari moja tu la police waliojizatiti na kujiahami kikamilifu na zana zote limepita likiwa katika utayari kwa kuwadhibiti na kuwakabili vilivyo majambazi na waandamanaji haramu ambao mpaka sasa wanachungulia madirishani tu kupima upepo wa kithibiti maandamano Haram...

Ntakucheki nikueleweshe vizur kazi ikianza
 
Asante kwa taarifa dada angu
 
😄😄😄😄😄 Kisayansi? Kweli nyie ni wahuni mnaopaswa kudhibitiwa kihuni kwa kucharazwa bakora mpaka akili iwakae sawa.vipi Mdude yupo wapi mpaka muda huu
Mdude yupo jikoni anaweka mipango sawa, sisi hatuna hata wembe, maandamano ni ya amani. Tulia dada angu uone kitakachotokea
 
Back
Top Bottom