Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Hao wahuni ni lazima wadhibitiwe vizuri ili wasichafue Taswira ya jiji la mbeya. Mbeya haitaki maandamano na wala haina mahitaji ya maandamano. Mbeya siyo uwanja wa kufanyia majaribio ya kila ujinga kutoka kwa kichaa na mwendawazimu yeyote yule anayejisikia tu kufanya yake akishalewa mipombe na kuvuta mibangi yake. Mbeya inahitaji maendeleo na miradi ya maendeleo kama ambavyo imekuwa ikiletwa kwa sasa na serikali ya Rais samia.mbeya inahitaji huduma za kijamii na siyo maandamano.

Mbeya hatutaki maandamano,Mbeya hatutaki kurudishwa nyuma wala kurejeshwa kwenye kuliharibu jiji letu kwa mikono yetu wenyewe.kwa sasa Mbeya na wanambeya wapo Bize makazi ya kuijenga Mbeya na kuijileteea maendeleo.

Polisi nawasihi msicheke na wahuni,msiwape nafasi wahuni .msiruhusu Mbeya kuwa mkoa wa kufanyia uhuni kutoka kwa wahuni.
Maandamano ni haki ya kisheria, hilo ni hitaji la sheria na wala sio maoni yako au ya mjomba wako.

Kusema Mbeya haihitaji maandamano unamaanisha Mbeya haifuati sheria za nchi, jambo ambalo sio kweli, kaa chini wacha mihemko tumia ubongo kufikiri, sio kupiga kelele kila wakati.
 
Akina Lucas ni watu waliofilisika kwa hoja wanategemea tu mabunduki hawana tofauti na Hamas au Janjawed wa Sudani
 
View: https://youtu.be/FvCK17XgA8I?si=YYy7pUkytUdtp1K_
F90vli0XkAAiik6.jpeg.jpg
 
Hao wahuni ni lazima wadhibitiwe vizuri ili wasichafue Taswira ya jiji la mbeya. Mbeya haitaki maandamano na wala haina mahitaji ya maandamano. Mbeya siyo uwanja wa kufanyia majaribio ya kila ujinga kutoka kwa kichaa na mwendawazimu yeyote yule anayejisikia tu kufanya yake akishalewa mipombe na kuvuta mibangi yake. Mbeya inahitaji maendeleo na miradi ya maendeleo kama ambavyo imekuwa ikiletwa kwa sasa na serikali ya Rais samia.mbeya inahitaji huduma za kijamii na siyo maandamano.

Mbeya hatutaki maandamano,Mbeya hatutaki kurudishwa nyuma wala kurejeshwa kwenye kuliharibu jiji letu kwa mikono yetu wenyewe.kwa sasa Mbeya na wanambeya wapo Bize makazi ya kuijenga Mbeya na kuijileteea maendeleo.

Polisi nawasihi msicheke na wahuni,msiwape nafasi wahuni .msiruhusu Mbeya kuwa mkoa wa kufanyia uhuni kutoka kwa wahuni.

Wahuni wako Dodoma:

F-Ay3s_WUAAKYKi.jpeg

Na wengine wako busy kuuza Bandari na rasilimali zetu.
 
View attachment 2807863

Kwamba taarifa zote zilifuatwa. Hata ilipobidi rufaa ilikatwa kwa waziri:

"Silence gives consent."

Kesho tutamwagika mitaani kwa maandamano yatakayokuwapo kila tarehe 9 ya mwezi hadi hoja zetu zitakapojibiwa.

Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, rais wetu mpendwa wa JMT:

"Kuna tetesi za polisi Mbeya kuandaa risasi za bahati mbaya kuuwa na kujeruhi watu kesho."

View attachment 2807884

Bahati mbaya inapigiwa je mahesabu yake leo?

"Wewe ni muislam mwenye hofu ya Mungu."

Kulikoni haja ya majibu ya hoja kupangiwa majibu ya risasi, virungu, kujeruhi au kuuwa?

Kemea polisi hawa wenye wajibu kama wewe na sote wengine wa kuilinda katiba nchi.

Kulikoni wengine kukuchumia wewe dhambi hata mbele za Mola?

Kulikoni usitume mwakilishi wako kuwasikiliza wananchi hawa wasiokuwa na chembe ya shari akakuletea mrejesho?

Kulikoni kutaka kuipoteza fursa hii ya kuiunganisha nchi kwa vitendo?
waandamanaji haramu wote kesho wadhibitiwe na kuwajibishwa kikamilifu na ipasavyo bila huruma hata kidogo.
miongoni mwao ni muhimu sana rapsha zikiwazidi afya zao, wapelekwe wakapate fursa ya kuona huduma za afya zilivyo boreshwa katika awamu hii ya sita, na wao wakiwa miongoni mwa wanaopatiwa huduma hizo kuanzia kesho......

hao ni majambazi na waporaji wa fedha na mali kwenye vibanda na maduka ya wavuja jasho wenye bidii katika nchi hii. wasionewe huruma hata kidogo, ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao....

mashamaba na ardhi yenye rutuba vimejazanaa nchini, uvivu tu....
 
Back
Top Bottom