Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Ninatangaza Mkesha Jangwani, Ndugu Makamanda Leo Tutafanya Ulinzi Wa Mkesha Pale Jangwani Kwa Ajili Ya Mkutano Wa Kesho Vyombo Vinaendelea Kufungwa Hivyo Nyinyiem Wanaweza Wakafanya Hira

Kamanda Kova na timu yako msicheze mbali. Yale magenge ya wanywa viroba wavuta bangi na panyarodi yatakesha Jangwani usiku wa leo
 
mkuu mtoa hoja nakuunga mkono katika hili.viongozi wetu wa ukawa tunaomba kesho mgombea wetu wa ukawa angalau apewe dk. 50 pale jawngwani ili aueleze umma wa watanzania nini mikakati yake kuelekea mabadiliko tunayoyahitaji?
 
Ukawa wamkaribishe Profesa Kikwete aone Live Mambo Ya Ukawa. Tumechoka kusikia kauli zake za Oooh, Mara za kuteneneza! Mara ooooh, za zamani wakati wa Dr. Slaa! Ashuhudie mwenyewe hiyo kesho paleeeeee! Jangwani.
 
Kwanini mnazuia kufanya mkutano mtu asiye na afya?

Acheni muone
 
Team Chuga muda si mrefu tutakuwa hapo
 

Attachments

  • 1440838245206.jpg
    25.2 KB · Views: 385
Kuna jamaa anasema wanadai kibali cha kujenga jukwaa laah watapiga marufuku ujenzi.
 

Attachments

  • 1440751784742.jpg
    24.4 KB · Views: 1,494
  • 1440751806112.jpg
    36 KB · Views: 1,388
  • 1440751829433.jpg
    44.6 KB · Views: 1,436
Wamechoka amani hawa akina Kova na Chagonja ... Haya ngoja tuwasikilize ...
 

Taratibu basi unaturushia mimate yako mana unafoka utazani nawe ulipewa tenda ya kufyatua tishet za kampeni ccm
 
Wanasaidia kutuongezea kura hawa, ngoja tu wajichanganye wanazidi kuongeza hasira ya watanzania kwa hili chama la kichawi.
 
washasema kuwa hii oil chafu lakini wanahangaika nayo mapaka basi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…