Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Hivi ubora wa kuongea unapimwa kwa muda au mada na mtiririko wa mawazo ktk kuongea??

JK anaweza maliza saa 2 ktk hotuba lakini hakuna cha maana na Obama anaweza ongea dakika 5 tu lakini akaongea mambo yenye mantiki.....

DU hapo hana hoja tena yaani kibano kwa magamba
 
"lowasa zidisha kuongea kwa dakika kumi na tano tu- tulale vizuri leo"

"mbowe tugawie basi zile bilioni za lowasa"

"lowasa kwani unaumwa nini?"
Bado zile tabia zako huja acha tu achana nazo ndugu huoneiumebadilika adi mwendo kiuno hakina tena nguvu unatutia aibu ulisema utaacha lakini kuna tarifa bado huja acha kufanyiwa kinyume na sheria za mungu mungu alijuwa kwa nini alikataza hayo mambo mtakuja kuja sababisha mungu aunguze dunia !!
 
Hoja za msingi kwanza porojo za masaa jukwaan huku ni za uongo hatutaki ukweli ni kwamba hata maneno ya dak 1 ya maana na yenye kutekelezeka ndiyo 2nayo taka mmeckia nyie magamba
 
Ukawa juuu,ukawa for ever ,sikosi jangwani kesho saa mbili kamili asubuhi niko uwanjani
 

Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?

Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.

Kumbuka hilo.
 
Urefu wa hotuba unapimwa kwa wingi wa hoja zenye mashiko, busara, hekima na maono ya. Hotuba haipimwi kwa muda uliotumika kuitoa. FaizaFoxy

Kuwakaribisha wake zenu na wanawake zenu ngurdoto wakale bata ndiyo busara?

Mwanamme mzima unashangilia hilo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kuwakaribisha wake zenu na wanawake zenu ngurdoto wakale bata ndiyo busara?

Mwanamme mzima unashangilia hilo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Ungejibu hiyo hoja ya hotuba na mda tukupime lakini hapo ushaifukia unaongelea wake sijui nn sasa haha
 
Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?

Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.

Kumbuka hilo.
Tatizo ukabila umekujaa na ukanda na ndiyo sumu SSM imetujengea kwa miaka kumi hii na ndiyo maana mshauri mkuu wa Rais Ridhiwan alikazia kuwa Rais hatoki Kaskanini. Mimi si mchaga na nina watu kibao si wachaga, na tutampigia Lowasa kura. Msituchefue na ukabila hapa. Kwani huyu maguguli tunayemchagua yeye katoka Rwanda kwa hiyo ni mhutu au mtusi na si kabila la Tanzania? Mkuu wewe ni msomi achana na fitina. Mikoa yote inayopigia upinzani kura hasa Chadema ni wachagga? Unaogopa wachaga kwa kuwa mziki wao ni mkali sana? Poor you CCM Mongers.
 
haa haa mbona kuna yule wa tezi dume yuko ikulu anakaribia kuondoka?

Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.

Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?
 
Wale watoto waliokuwa wana serebuka na JK na kumfundisha Magufuli kupiga ngoma baadhi yao leo wanakuja na duku duku zao wakilala mika kwamba walitumiwa kwa masharti ya kwamba kila aliye hudhuliwa angepewa fedha ya kujikimu lakini hadi wakati huu wana zungushwa katika kupewa kiinua mgongo chao hicho. CCM acheni uhuni wa kutumia vijana vibaya.
 
wekeni ulinzi wa kutosha makamanda...maCCM hayakawii kuwategea vilipuzi hapo uwanjani. take extra care guys.
 
Hata kuongea haongei zaidi ya dakika kumi na tano. Unajipa moyo?

Huyu mgonjwa sisi hatumchaguwi watamchaguwa wachagga wasiojielewa waliouza utu wao kwa thamani ndogo.

Kumbuka hilo.

Mwaka huu utakunywa divai ya Pombe..hoja ya mfumo kristu imefia wapi?
 
Mwaka huu utakunywa divai ya Pombe..hoja ya mfumo kristu imefia wapi?


Akina FaizaFoxy ni kama Funza tu hawajui kipimo cha mahitaji yao...

waliimba hatuchagui Slaa kisa Padre leo wanampigia debe padre aliyeasi Magufuli!!!

Sijui vichwa vyao vimebeba nini.....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…