Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.


Duh walipwa kiasi gani ? Mim kinachoniskitisha ni kukuona ww umeshikilia suala la ugonjwa wa Edo.
Udhaifu wake nk. Mi naamini yale maneno ya Moi alomwambia Nyerere kuwa anatawala MAITI.
Inaonekana wew ni maiti kwasabab kila ukikaa waweweseka ccm.
 

Hahahahahaha nzr hyo
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.
Huko Mbeya umesikia lakini? Muwahisheni hospital au kupata kikombe cha babu maana alihudhuria Samunge.
 
Jamani kwenye uzi huu kulikuwa na habari kwamba wajenzi wa majukwaa ya mkutano wa kesho walipigwa marufuku na polisi kwamba mpaka walete kibali cha ujenzi. Je, hii habari ilikuwa ya kweli? Tupeni updates basi washirika? Jamani wekeni hata kipande cha picha chenye kuonesha majukwaa yaliyokwisha kamilika basi!!
 
Lowassa tuhakikishie usalama wa kura zetu tu, vichinjio tunavyo mkononi kumng'oa mkoloni mweusi
 
Mwambie wasimame watoe hotuba ya saa moja Lowassa na Magufuli ujionee mambo.

Jamaa hacheki, hanuni, ni zezeta mnataka kulipeleka Ikulu, hilo hamtafanikiwa. Au wachagga mshalitengeneza ndondocha lenu mnataka kutuingiza mkenge?

acha wivu nikujuavo mm umekaa uko serikarini mda mrefu kiasi na utendaji wa lowasa unaujua sasa umetumwa uje kumchafua wewe bibi tulia mziki wa lowasa unaujua kubali sindanio ikuiingie, umetumika vibaya loh kisa uko ndani ya system?

Mwisho wa mnafiki ni aibu faiza umesambaza uongo juu ya lowasa mtandaoni kuwa makini yatakutokea puani. Mtu mzima ovyo kiasi hiki??? Hii mihemko aiendani na umri wako. Kama umtaki lowasa nyamaza sio kusambaza uongo mitandaon.
 
Niko Dar es salaam, tayari kwa mkutano wa kesho! Asanteni TEAM LOWASSA DAR kwa mapokezi mazuri, kweli Nimejisikia niko Arusha, HAKIKA, Harakati za Ukombozi zimetuunganisha!!!!!!

#HATUACHI!!!!!!!
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.

Unakomaa na wachaga ili iweje mbona mm ni mmakonde na nitampa kura...FaizaFoxy. .utajibishana na watu wote hawa ni utakuwa kichaa mama...tulia!
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.

kumbe wewe ni bibi!nenda nyumbani utunze vitukuu social media waachie damu changa.
 
Nasikia leo Pombe kazidiwa akiwa jukwaani, usitukane wakunga na uzazi ungalipo.

ITV.

Magufuli sio mtaalam wa Siasa anafikiri Urais na Ubunge ni sawa ambapo mbunge unazunguka kwa kampeni jimbo moja tu,Urais ni.mikutano zaidi ya 180 ndani ya siku 70.Ukijifanya kuongea dakika 30 lazima pumzi ikate.Lowasa mzoefu ndio maana madini yake ni 5-10 minutes.Mwendo wa kutrot.
 
Mtu hata kusimama nusu saa hawezi atatenda nini? Unanshangaza.

Sema kishawanunuwa wachagga wote. Ngoja siku aseme leo sina hela, tuone mtavyomgeuka.

Hahahaha


MAGUFULI AUMBUKA

Mgombea urais kupitia tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli ameishia na sauti ghafla hali iliyolazimu mkutano wa kampeni kufungwa pasipo mgombea kumaliza kunadi ilani ya chama.

Magufuli amepatwa na balaa hilo leo hii akiwa mkoani Mbeya hali iliyozua hofu na sintofahamu nyingi juu ya afya ya mgombea huyo wa CCM.

Magufuli ambaye alitakiwa kuongea na waendesha boda boda mara ya mkutano huo kuisha ameishia kuwapungia mkono boda boda hao na juu ya tatizo la afya mgogoro uliomkumba.

Hata hivyo habari zilizotufikia hivi punde zinasema Magufuli amelazwa katika hospitali ya mkoa kwa kile kinachosemekana mapigo yake ya moyo hayapo sawa sawa.

Ikumbukwe moyo wa magufuli unafanya kazi kwa kifaa cha kuchaji kinacho rekebisha mapigo ya moyo kiitwacho "Pacemaker" ambacho kipo mwilini mwake.

Hii ni mara ya pili kupatwa na tatizo la kiafya tangu aanze kampeni za urais. Mara ya kwanza moyo ulileta shida akiwa mkoani Katavi hali iliyopelekea kushindwa kuhutubia katika mkutano mmoja wa hadhara na hivyo kuishia kuwapungia mkono watu waliojitokeza kumsikiliza.

Tatizo hili la moyo linampa wakati mgumu Dk. Magufuli nyakati hizi za kampeni.
 

umeandika kishabiki mnooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…