Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Duh!!....hii kali sasa
 

Attachments

  • 1440792861379.jpg
    15.3 KB · Views: 834
Na wajae na kukesha tu si wameletwa na malori,sasa watalala wapi zaidi ya kuumwa na mbu hapo.
 

ahaaaa mkuu utujuze hali ya mgonjwa wa lumumba fc inavoendelea hapa lumumba wa jf akina bibi faiza watapita kimyaaaa.
Magufuri nataka upone ili ushuudie mwenyewe kesho
 
Na wajae na kukesha tu si wameletwa na malori,sasa watalala wapi zaidi ya kuumwa na mbu hapo.

hivi mbona ccm pamoja na kusomba watu na malori, kugawa pesa, kugawa tshirt na kofia bila kusahau kanga na kugawa wali ila hamjawai pata nyomi ya kutisha
 
Dah kumbe mgonjwa dah mzee kazi unayo faiz kamsaidie
 
Watapona kupigwa mabomu maana wataambiwa wameanza kampeni kabla ya muda, si unajua tena vijana wa kova na watiifu wa "wapigwe tuu"?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…