Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Baadae hataa watoe NOTICE kuwa hairuhusiwi kuwasha Generator Tanzania wala hamna kurusha ki2 live TUTAANGALIA TU!
 
Mbona mgombea wa Ukawa urais anapoteza kujiamini, kuongea?au mpaka kesho kwenye uzinduzi jangwani?
Yan wewe huwezi kubadilika mpaka mtu aongee?..yan hata akili yako haikwambii sasa nchi hii inahtaji mabadiliko ya haraka?..nyie ndo mlituchagulia watu wanaojua kucheza na maneno na ndio waliotufikisha hapa..na kwa taarifa yako lowasa atakwenda magogoni hvyhvyo kimyakimya we endlea kuwasubir wanaojua ngenga ila sisi tunasubiri spidi ambayo haikuwahi kutokea nchi hii.
 


Sauli aliua watumishi wa Mungu lakini baadae akageuka na kuwa mhubiri Mzuri wa injili ambaye leo ndiye Mtume Paulo tumsomaye.....

Kwahiyo usije ukafikiri huu ufukara wako wa akili utabadilisha chochote!!!

Watu wanakata mbuga watoto wa jalalani kama wewe na ule uzao wenzio wa zinaa mtabaki hapo hapo kwa kurushiwa miguu ya kuku!!!

Mpuuzi sana kima wewe!!!
 
Sisi wana ccm tukubali tuu yaishe. Naimani tukijipanga upya tutaweza kushinda mwaka 2020
 
Yaani lowassa sijui huwa nini kinamkuta. Mnajiandaa sana halafu akija hamna anachoongea cha maana mpaka mkutano unaisha.
 
Yaani lowassa sijui huwa nini kinamkuta. Mnajiandaa sana halafu akija hamna anachoongea cha maana mpaka mkutano unaisha.
Jamaa nasikia sauti ilikata mbeya. Ameshajiangusha mwenyewe kabla ya kuna kutuangusha. Hatufai, tumkatae.
 
Zoom usome maandishi nyuma. Kumbe mkapa hakukosea kuwaita vile
 
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???

Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.

Mkuu, walisha ambiwa kuwa hao ni maloafer! Achana nao.
 
Oh..i knew it! I knew someone was gonna start this thread at mid sharp! Ok, i'm just passing by..i wanted to prove my hypothesis..
But..don't you guys sleep?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…