Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.



Mbeya
 
Maandalizi ya kuelekea jangwani ndo sasa toka,maku town. Hapa nakula ziki nene.
 
Mapema jana Ijumaa nilipiga simu nyumbani Kibirinzi, Chake Chake, Pemba, ili kuwapa hongera kwa kiwanja cha watoto kufunguliwa rasmi na Rais Dr Shein, mara nikapewa nizungumze nae rafiki yangu wa zamani ambae anaishi DSM kaenda nyumbani kwa weekend. La mwanzo nikamuuliza, je, umekimbia GHARIKA ya kesho (yaani leo Jumaamosi) huko Jangwani? Akaniambia kuwa….”sio gharika, sio mafuriko na wala sio sunami, bali itakuwa ni KIAMA hio kesho huko Jangwani, kwani watu mara 5 ya wale waliofika kwenye ufunguzi wa kampeni ya CCM wanategemewa kufika”. Nilikata simu hapo hapo na kuanza kufikiria huyu Lowassa anakitu gani cha zaidi cha kuwavutia wananchi kama hivi? Najua jibu nitalipata hio tarehe 25 October, 2015 na kwa sasa msinijibu kitu!
 

Attachments

  • lowassa.jpg
    6.8 KB · Views: 1,276
ukigoogle maneno haya picho znakuja kama zilvyo-->> SERENGETI FIESTA 2013 JIJI LA MBEYA USIPIME
 

Ni usanii at work. Mbona nimepita hapo Jangwani naelekea Manzese hakuna kitu kama hicho. Ama kweli mwaka huu tutashuhudia mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…