Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
standaleone,hongera kwa kushika namba,nilihofu Lumumba wataweka kibaraka awahi kuanzisha uzi halafu akimbie na mods wa siku hizi ni new version!!!

Tayari Lumumba wamefika mapemaa,wametupia picha ya fiesta kuwachanganya watu ilibaadae ijulikane ni uongo.
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye miaka zaidi ya hamsini muafaka wa kitaifa umepatikana- mabadiliko lazima ,CCM basi.
 
Hayo maaandalizi ya mkutano wa Mwakasege, Bavicha wanasema maandalizi ya Ukawa na nyumbu wanafuata tu daah!!
 
wewe Tressa akili yako ndogo sana sisi cio kokote tupelekwe saiti
tunaenda wenyewe bila kusombwa tumia akili

waliokesha wanaeleweka wanachunga vyombo,samahani labda we Ni mlinzi wa vyombo,wanaojielewa wanakuja saa nne.
 

duuh! Huu sasa ni ujinga yaan wanadanganya kweupe hivi?
Hahahaaaa! Kweli kauli ya mkapa iko sahihi. Imetokea wakat muafaka na kwa watu sahihi. Marofa na mapumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…