kirumonjeta
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 3,966
- 1,968
kwetu wameshakata umeme mapamaaa! duh,hawataki tuone mafuriko.
Unapotumia Picha za Fiesta Kutuaminisha ni sawa na kuishusha Hadhi Chadema pamoja na Ukawa. kwanini msumbuke wakati october bado?
Kweli mmepata mafuriko huko sio mchezo. Na ukizoom hizo picha wahudhuriaji ndo kama hawa
Siku ya kampeni za CCM Admin wa jamii forum aliweka picha ya mgombea wa ccm Magufuli. Tulikua tunaona picha hizo wakati tunacheki post mbalimbali humu jamvini.
Naamin admin hafungaman na chama chochote. Na sisi wana ukawa tunataka admin atuwekee picha za lowasa kwenye post mbali mbali.
Natumai ujumbe umefika.
shiboni shisha mkuu....
Hivi ni uzinduzi wa kampeni ya Lowassa au kampeni ya Ukawa? Naona Lowassa ni mkubwa kuliko Ukawa na kuliko Chadema. Lakini ni sawa tu maana ndo aliyeandaa hafla sasa anataka asherekewe yeye!
Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!
Sisi mbeya tulikuja jangwani usiku na kamati yangu ya ufundi kucheck mazingira tumerudi baada ya kuona Hamna wanga ila nape angalie Lowasa mabadiliko mabadiliko Lowasa Amen