Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Jangwani watu wameshajaa. Ukichelewa utasimamia magomeni.
 
TAARIFA: Kuna tetesi kuwa leo mvua zitanyesha nyingi sana kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 2 usiku. Jiandaeni mianvuli.
USILETE UONGO. HIVI VIMANYUNYU NI DALILI YA NEEMA. Muumba anasafisha maeneo vumbi lisiwatese watu uwanjani. kuanzia saa6 hakuna manyunyu hakuna mvua. NAKUHAKIKISHIA. UONE CHAGUO LA MUNGU LIPI. CCM ufunguzi wao hawajapata baraka ya namna hii. ni AJABU NA KWELI
Mvua ya lashalasha wakati mawingu meupe ni baraka.
Ukienda fanya jambo njiani ukakutana gafla na lashalasha ni neema tupu.
 

Usiku mvua ilinyesha baadhi ya sehemu.
Na asubuhi hii kuna mawingu baadhi ya sehemu.
 
Washakata umeme,hili shirika ni bogus,lowassa october lazima atalifanyia overhaul hili shirika,ikulu ileeeeee
 

Ahsantr dada,nipo buguruni hapa kuna manyunyu ya baraka kwa mbaliii.
Yani afe punda afe mwenye punda, mzigo ufike...!
 
Mvua imeanza kunyesha lakini ni yakukata jua makali tu. Kiukweli ningekuwa name wasiwasi sana kama mvua isingenyesha. Mafundisho ya dini yanasema kuwa mvua ni Baraka na ni ishara ya ujaji wa mgeni mwema!

PS. Nahisi idadi ya mahudhurio ya CCM itafikiwa SAA 6 mchana, naona dalili ya Morogoro na Kigogo Road kufungwa
 
Rizki anaetowa ni mmoja tu, hata mimi mwenyewe sina uwezo wa kuitafuta. Inanifata nilipo bila kujuwa imefikaje. Kumbuka hilo.

Wewe bibi huyo mmeo naye kimeo kabisa, yaani saa 6 yote hiyo alikuwa hajakugegeda tu?
 
Yalaaaa... CCM ni noma yani baada ya kuuzuia uwanja wa jangwani ikashindikana sasa wamekwenda kwa waganga wameleta mvua dar ili ufunguzi usifanyike!!!
 
Siku ya leo iko vizuri sana, najikuta nina amani muda wote, ni kama sikukuu vile. Napita mitaani kila kona naskia Ukawa na Lowasa tu. Sijawah kuona wala kuskia mtu anapendwa kiasi hiki
 
makamanda peoplesssss! nipo safarini natoka dar kwenda dom kumfuata wife,njiani kuna gari nyingi sana tunapishana nazo zinakuja dar kwenye mkutano.VIVA UKAWA! BRAVO LOWASA! UTUKUFU UMEKARIBIA!
 
Ni mvua kubwa inakuja. Naona hakuna kitakachofanyika leo, hata isiponyesha nyingi watu hawatakuja kwa kuogopa mvua
 
Mungu amewapoteze ccm.walikua wwnataka kuleta mvua ya mapepo.sauti ya wengi ni sauti ya mungu
 
Jamani vituo gani vya tv vitarusha matangazo yakampeni ya ukawa toka jangwani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…