Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Mi nadhani kuendelea kuwekea vikwazo vya hapa na pale upinzani na hasa ukawa tunawapa umaarufu bila sbb. Wangewaacha tu waendelee na mambo yao. Watu wanaweza kutengeneza huruma na kujikuta Ukawa unazoa kura. Nakumbuka huruma ndiyo ilmsaidia Zuma
 
Mwisho watakuja kumtaja tu aliye nyuma ya huu ujinga wao....wanaogopa mabadiliko!!
 
Wanabana,lakini wataachia tu.Watanzania tunafatilia kwa makini na hatutafanya makosa kwenye sanduku la kura octoba 25.
 
Mimi nataka kikwete chama kimfie mikononi hasaa kwani yeye kikwete ni muislam jina au wavitendo ktk uislam, kama ni muislam vitendo swali langu ni hili kwake na kwa wanaomzunguuka; mbona maimamu na baadhi ya wasuasi wa uamshoktoka zanzibar amewaka mahabusu huko tanganyika na kuwazalilisha kwakila aina? The time has come 4 ccm 2go. We do not care about ccm aymore, let them go
 
CCM wanazidi kujivua nguo, yaani siasa imewashinda wanatumia mabavu kudhibiti wapinzani.ICC ina kamera yake hapo uwanjani, Nape anawapotosha kweli mabosi wake na kwa upoyoyo wao wanakubali tu kama mazuzu.
 
kwi kwi kwi kwiiiiii polc magamba, kwa akili za kova ukute anafkiria kwenda
Mambo mengine ukiambiwa unaweza kudhani ni ndoto, hawa polis wajiandae kisaikolojia wamemuudhi hata mke wangu ambae ni kiongozi CCM ameamua kuachia vyeo vyake vyote na kadi kachoma , kasema anawasubiri CCM 25/10 Awape adabu uonevu wamezidisha .
 
Kuna watu hapo wanajenga magorofa na hawana vibali, kwan hiyo ni kazi ya police jaman jaman nchi mnaipereka wapi???
 
CCM wameusawazisha huo uwanja kwa greda karibu wiki hapo, inawauma sana.
 

kaka hicho kibali unachokizungumza ni kwa ajili ya ujenzi wa kudumu.....ujenzi huo hauhitaji kukaguliwa wala usimamizi wa professional engineer
 
Kuna watu hapo wanajenga magorofa na hawana vibali, kwan hiyo ni kazi ya police jaman jaman nchi mnaipereka wapi???
 
Mi nadhani kuendelea kuwekea vikwazo vya hapa na pale upinzani na hasa ukawa tunawapa umaarufu bila sbb. Wangewaacha tu waendelee na mambo yao. Watu wanaweza kutengeneza huruma na kujikuta Ukawa unazoa kura. Nakumbuka huruma ndiyo ilmsaidia Zuma
Ni kweli mizingwe ikizidi wananchi hupiga kura za Huruma na hivi Visa vya ccm sasa vinaorozeshwa vyote vya ICC The Hague ili iwe rahisi kuwashitaki .
 
Jiheshimu basi kidogo kwa nini unamtukana mwenzio namna hiyo ?.Jenga hoja na jitahidi kuwajibu watu kwa hoja ,matusi hayajengi yanabomoa usiwe kama Mzee Mkapa bana.!!!.

Kweli mkuu lugha zenye staha ni baraka pia hata tuyatarajiayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…