Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili
ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 ,
hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao
kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned.
Aluta Continua...
Polisi
wao wameona hiyo ndio mbinu...
kesho ni aibu, tu tumuone lowassa ahutubie kama magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
nchi ina utaratibu......na sheria zifwatwe