Ukiwa na kiwanja chenye hati haina maana kuwa una kibali cha ujenzi!! Uwanja wa jangwani wana kibali tayari.Lakini kibali cha ujenzi lazima wawe nacho ili kujenga chochote hapo.Ndio utawala wa sheria zikifuatwa mnang`aka zisipofuatwa mnang`aka hamueleweki.Sheria inataka uwe na kibali cha ujenzi.Hilo jengo likija poromokea watu mtasumbua serikali kuwa haikusimamia sheria za ujenzi.
Katafuteni kibali
Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa kwaajili
ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 ,
hao wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho waruhusu wao
kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned.
Aluta Continua...
Kesho ni aibu, tu tumuone Lowassa ahutubie kama Magufuli.
Tutegemee kwaya na sauti za wachungaji.
Hahahah na mtakoma mwaka huu, kesho mapemaaaaaa tupo
UKIWA kesho mwambieni mgombea wenu yeye ndio mzungumzaji mkuu hivyo hatutaki kuona tantalila nyingi. kama vipi mje mmemchoma sindano nyingii ili aweze kuongea saa moja.
ngoja tusikie mashindano ya ushindani wa kwaya za kanisa
Hutaki wewe na nani, kila chama kina staili yake ya kampeni nyie mlimtanguliza Mkapa kuporomosha matusi Ukawa hawataiga huo upuuzi.UKIWA kesho mwambieni mgombea wenu yeye ndio mzungumzaji mkuu hivyo hatutaki kuona tantalila nyingi. kama vipi mje mmemchoma sindano nyingii ili aweze kuongea saa moja.
Hii hali inanishangaza.
Taratibu za kutumia viwanja vinajulikana.
Na Chadema wamekuwa wanazifuata siku nyingi.
Kuna aina ya majukwaa yanayokubalika mahali mbali mbali. Masharti ya kiafya kama uwekaji wa maliwato za muda...uwepo wa huduma za dharura za afya.
Kama kuna watumbuizaji, vibali vya wanamuziki au wasanii....
Vibali vya kiusalama...pamoja na taarifa ya mkutano polisi na aina ya ulinzi unaohitajika...ma misaada ya kuongoza magari na misafara..haya ni mambo ambayo Chadema wameyafanya sana siku zote katika mikutano yao.
Ina maana timu inayoaandaa mikutano hii haijafuata taratibu hizi?
Kwa nini?
Na kama wamefuata kwa nini wagasiwe?
Uonevu na ubaguzi kati ya vyama vya siasa ni hatari na upigwe vita kwa nguvu zote. Unaua demokrasia na kuleta usumbufu na ghasia pasipo sababu.
Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah,tuko njiani tunakuja kukesha makamanda