Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

🀣🀣🀣eti Ustadhi Aboubakari
 
Mwamba ameitendea vema Iringa!
 
Yuko hoi, Moses Tsvangirai
 
Hata maandalizi ya harusi mtaani yanakua hivyo,mbona kawaida tu!
 
Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Kwi kwi kwi,, Tena hizo Siasa anaziweza Lissu na anakuja, andaeni kesi Sasa[emoji1]
 
All that is for look and feel
 
Huu ukumbi hautatosha shughuli ingefanyikia uwanja wa samora pale ni maoni yangu lakini.
 
Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Hapa unamuonea Mbowe hatukani mtu, japo mimi nawakubali ACT lakini Mbowe namuheshimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…