Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hakuna siasa za matusi zilizo mbaya na kubwa kwa watanzania kuliko kuhamasisha ufisadi bila aibu wala soni usoni tena kwa kutumia TV ya Taifa🐒🐒🐒Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi