Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Hahahahahahahahahahahaha.......

Kwamba ostadh mbowe...
Duh!
 
Tukio kubwa kama hilo kufanyia ukumbini nikuwanyima haki wengine.Bawacha siyo sare.Bawacha zipo mioyoni
Tatizo ni marufuku ya mikutano ya hadhara iliyoanzishwa na mwendazake, SSH akarithi. Hili ni tatizo kubwa kwa vyama vya upinzani. Huu mkutano ulitakiwa ufanyike kwenye uwanja wa wazi.
 
Huu ukumbi hautatosha shughuli ingefanyikia uwanja wa samora pale ni maoni yangu lakini.
Katazo la mikutano ya hadhara lililoanzishwa na JPM bado SSH analiendeleza. Ni tatizo kuendesha siasa zisizo na usawa. CCM wanajiachia tu watakavyo.
 
Huu ukumbi hautatosha shughuli ingefanyikia uwanja wa samora pale ni maoni yangu lakini.
Kumbe hujui kwamba vyama vya upinzani vimeminywa kwenye uhuru wa kufanya mikutano? Ndiyo maana vinaitaka KATIBA mpya ili kuondoa mikandamizo isiyo na tija kwa taifa.
 
Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Kwenye kesi mliyoshindwa kuendelea nayo na kuamua ku - surrender hakukuwa na shitaka la "kutukana/matusi" wala hilo la "uanaharakati...."

Wewe Kingai haya unayatoa wapi au unaota....?
 
Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .

Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .

View attachment 2142382
Wale viazi na mambwigwa wote waliokuwa wakimwita FAM gaidi katika kesi uliyobumba, huwezi tena kuwaona wakichangia uzi huu kwa kejeli ili kuficha aibu zao.
 
At least maiti mimi ninazo bado chembe chembe za uhai.

Kitendo cha kusema mbowe alitukana matusi kwa kudai kwake katiba umeonyesha jinsi ulivyo mweupe!!!
Hii nchi ujinga wake ni zaidi ya kiwango cha lami. Kuna kungamano moja feki kuna mtu mmoja alisikika akisema *,,,,,,,mh mbowe amenikosea heshima sana'... SO hawa wajinga masikini walilimeza hilo kama lilivyo.
 
Back
Top Bottom