Hahahahahahahahahahahaha.......Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .
Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .
View attachment 2142382
Tatizo ni marufuku ya mikutano ya hadhara iliyoanzishwa na mwendazake, SSH akarithi. Hili ni tatizo kubwa kwa vyama vya upinzani. Huu mkutano ulitakiwa ufanyike kwenye uwanja wa wazi.Tukio kubwa kama hilo kufanyia ukumbini nikuwanyima haki wengine.Bawacha siyo sare.Bawacha zipo mioyoni
Hili ni tatizo kwa vyama vya upinzani, hakuna uwanja sawa na CCM. Sijui SSH halioni hili kwamba ni tatizo kwa democracy yetu??Mikutano ya hadhara imepigwa marufuku.
Unataka tafsiri ya neno jeshi ama unakomaa na ubishi.Iringa mjini kuna kambi ya Jeshi?
Asante Mkuu kwa kunielewesha vizuri.Sambala.Yawezekana kakosea kuandika.
Katazo la mikutano ya hadhara lililoanzishwa na JPM bado SSH analiendeleza. Ni tatizo kuendesha siasa zisizo na usawa. CCM wanajiachia tu watakavyo.Huu ukumbi hautatosha shughuli ingefanyikia uwanja wa samora pale ni maoni yangu lakini.
Kumbe hujui kwamba vyama vya upinzani vimeminywa kwenye uhuru wa kufanya mikutano? Ndiyo maana vinaitaka KATIBA mpya ili kuondoa mikandamizo isiyo na tija kwa taifa.Huu ukumbi hautatosha shughuli ingefanyikia uwanja wa samora pale ni maoni yangu lakini.
Tutajie tusi hata 1 la mboweLakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Kwenye kesi mliyoshindwa kuendelea nayo na kuamua ku - surrender hakukuwa na shitaka la "kutukana/matusi" wala hilo la "uanaharakati...."Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
At least maiti mimi ninazo bado chembe chembe za uhai.Na wewe ni maiti ya namna gani? Maana kama unaweza kusoma na kuijibu maiti isiyowaza basi na wewe Saint Anno II ni maiti
Wale viazi na mambwigwa wote waliokuwa wakimwita FAM gaidi katika kesi uliyobumba, huwezi tena kuwaona wakichangia uzi huu kwa kejeli ili kuficha aibu zao.Ukumbi huu unaitwa Usambara Hall , uko Mjini Iringa , Hapa ndipo shughuli ya Wanawake Duniani iliyoandaliwa na mabingwa wa shughuli za akina mama BAWACHA itafanyika .
Shughuli hii ibatarajiwa kuhutubiwa na Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar .
View attachment 2142382
Kumbe mimi inawezekqna bado mgeni ... ivi iringa mjini kuna kambi ya jeshi etiUko ndani ya kambi ya jeshi.
Jeshi ni nini,Kumbe mimi inawezekqna bado mgeni ... ivi iringa mjini kuna kambi ya jeshi eti
Hii nchi ujinga wake ni zaidi ya kiwango cha lami. Kuna kungamano moja feki kuna mtu mmoja alisikika akisema *,,,,,,,mh mbowe amenikosea heshima sana'... SO hawa wajinga masikini walilimeza hilo kama lilivyo.At least maiti mimi ninazo bado chembe chembe za uhai.
Kitendo cha kusema mbowe alitukana matusi kwa kudai kwake katiba umeonyesha jinsi ulivyo mweupe!!!
Mhemko ni steam. Sio vijana wa ccm mmekondeana kama mnaumwa Umeme sijui sababu ya roho mbaya au vipi unakuta kijana kama mzeeVijana wengi wa Chadema wana mihemko-Mbowe
Aise!Uko ndani ya kambi ya jeshi.
Ficha boga lako kichwani na wewe.amemtukana nani???Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Hivi mfano wa siasa za harakati Ni upi please