Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

Lakini naye Mbowe amejifunza, amewelewa Serikali ni nini? Sidhani kama ataendelea na siasa za harakati na matusi
Hakuna siasa za matusi zilizo mbaya na kubwa kwa watanzania kuliko kuhamasisha ufisadi bila aibu wala soni usoni tena kwa kutumia TV ya Taifa๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 

Hakuna ubishi Mbowe kaitwa kupewa ABCD's na mimi ninaona Mbowe ameshalainika tayari as from now he has to dilute the motion kuhusiana na katiba mpya na hapo ndio atakuwa amekisaliti chama. Lakini kwasababu Mbowe ni mtoto wa mjini atacheza na akili za wana Chadema wala hawataelewa kinachoendelea.
 
Kwa hiyo wewe ni mchambuzi wa matukio wa kuaminiwa, au ni mtabiri wa mambo bila kuwa na vigezo vya utabiri wa hayo unayotamani yawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ