PGO hiyo hiyo ambayo division IV 95% hawaijui na hawaifuati?sheria ya Polisi inasema kusanyiko la watu wawili au zaidi lenye kutia mashaka ni kusanyiko haramu na linafaa kusambaratishwa.
Acha upuuzi hii Nchi sio ye CCM pekee yenu.Bado kina Mbowe
Nguvu kubwa inatumika kuzima maandamano kuliko kutafuta watekaji.John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528
Lakini ruhusa ya vurugu haipoAcha upuuzi hii Nchi sio ye CCM pekee yenu.
Maandamano ya AMANI.Lakini ruhusa ya vurugu haipo
Hakunaga maandamano ya amani yenye kichwa Cha habari Samia must goMaandamano ya AMANI.
Ningekuwa Polisi watu wote nawaachie kuepusha shari maana THIS TIME AROUND dalili si nzuri wanamaanisha na historia inaenda kuwekwa kwa aitha watu kuumizwa kupitiliza au haki kupatikana na watu kuheshimiana.Hata mimi nimeshangaa .
Hawa jamaa hawana mikakati ya kisayansi na ndio maana wanadhibitiwa kiboya na watu wajinga kama UVCCM.
Na maandamano yasipofanyika ni bora Mbowe ajiuzulu maana hana maana yoyote ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kinacholaghai watu wauawe wa akiwa wamepumzika majumbani mwao au kwenye mabasi . Bora wauwawe wakiwa wanapaza sauti mitaani na ionekane kabisa wameuawa kwa kutumia bunduki za polisi.Sasa hawaandamani wanauawa ,wanaandamana wanauawa . Kipi kizuri.
Ukimeza nchale ,
Ukitema nchale .
Bora umeze ili ushibe maana unaweza hata kupata nguvu ya kukimbia kuliko kutema .
Jiji kama Daraslaam watu kuumizwa kupitiliza ni ujinga mkubwa sana .Ningekuwa Polisi watu wote nawaachie kuepusha shari maana THIS TIME AROUND dalili si nzuri wanamaanisha na historia inaenda kuwekwa kwa aitha watu kuumizwa kupitiliza au haki kupatikana na watu kuheshimiana.
Yashikwe mapimbi yote yanayopigania ugali wa Mbowe na saccos yakeJohn Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
View attachment 3102528
Hakuna cha kuandamana na kipigo kiko palepale, we hujiulizi Mbowe kwa nini hapeleki maandamano Moshi??Jiji kama Daraslaam watu kuumizwa kupitiliza ni ujinga mkubwa sana .
Jiji amabalo hata miundo mbinu na mpangilio wa mitaa haupo unaweza je kushindwa kuandamana watu mil. 1 .5 na kuzima nguvu yote ya vyombo vya dola. Sheli za mafuta na majengo ya biashara wanaishi watu wa atatishaje mabomu na risasi.
Polisi wanatakiwa wawalinde ndugu zao wanaoandamana na sio kuwaua kwa sababu ya familia ya watu wasiozidi Kumi. Familia ya Samia,Wambura ,Kingai,Awadhi , Masauni, na Mulilo na yule RCO Mtuhumiwa no.1 sijui mafwere.
Hiyo Slogan hata mimi ilinipa ukakasi.Hakunaga maandamano ya amani yenye kichwa Cha habari Samia must go
Ili nchi itawalike ni lazima kuitbibiti chaggadomoUwezo mkubwa walionao Jeshi la Polisi ni KUIDHIBITI Chadema. Hapo nawapa 'excellent'
Dah'..Abduli kasema safari hii ataingia mtaani kuyasambaratisha maandamano. Hatosubiri Polisi kushughulika na waandamanaji, atauwa watu yeye mwenyewe.
Polis wametoa tamko gani kuhusu utekaji?Nitaandamana kupinga utekaji na mauaji ya raia