Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

sheria ya Polisi inasema kusanyiko la watu wawili au zaidi lenye kutia mashaka ni kusanyiko haramu na linafaa kusambaratishwa.
PGO hiyo hiyo ambayo division IV 95% hawaijui na hawaifuati?
 
Maandamano haya pia yatufundishe namna ya kulinda kura.
Ccm anzia 1995 haijawahi kishinda kwa haki,Nape kathibitisha hilo!
 
Hata mimi nimeshangaa .
Hawa jamaa hawana mikakati ya kisayansi na ndio maana wanadhibitiwa kiboya na watu wajinga kama UVCCM.

Na maandamano yasipofanyika ni bora Mbowe ajiuzulu maana hana maana yoyote ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kinacholaghai watu wauawe wa akiwa wamepumzika majumbani mwao au kwenye mabasi . Bora wauwawe wakiwa wanapaza sauti mitaani na ionekane kabisa wameuawa kwa kutumia bunduki za polisi.Sasa hawaandamani wanauawa ,wanaandamana wanauawa . Kipi kizuri.

Ukimeza nchale ,
Ukitema nchale .
Bora umeze ili ushibe maana unaweza hata kupata nguvu ya kukimbia kuliko kutema .
Ningekuwa Polisi watu wote nawaachie kuepusha shari maana THIS TIME AROUND dalili si nzuri wanamaanisha na historia inaenda kuwekwa kwa aitha watu kuumizwa kupitiliza au haki kupatikana na watu kuheshimiana.
 
Jiji kama Daraslaam watu kuumizwa kupitiliza ni ujinga mkubwa sana .

Jiji amabalo hata miundo mbinu na mpangilio wa mitaa haupo unaweza je kushindwa kuandamana watu mil. 1 .5 na kuzima nguvu yote ya vyombo vya dola. Sheli za mafuta na majengo ya biashara wanaishi watu wa atatishaje mabomu na risasi.

Polisi wanatakiwa wawalinde ndugu zao wanaoandamana na sio kuwaua kwa sababu ya familia ya watu wasiozidi Kumi. Familia ya Samia,Wambura ,Kingai,Awadhi , Masauni, na Mulilo na yule RCO Mtuhumiwa no.1 sijui mafwere.
 
Hakuna cha kuandamana na kipigo kiko palepale, we hujiulizi Mbowe kwa nini hapeleki maandamano Moshi??
 
Uwezo mkubwa walionao Jeshi la Polisi ni KUIDHIBITI Chadema. Hapo nawapa 'excellent'
 
Back
Top Bottom