Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Bora afe tu tufanye sherehe lakini mali zetu zibaki salama kwa vizazi vijavyoJmani mtamuua na pressure mama wa watu
Njaa tu inakusumbua.Bora afe tu tufanye sherehe lakini mali zetu zibaki salama kwa vizazi vijavyo
Fanyeni kazi,acheni uvivu.Jmani mtamuua na pressure mama wa watu
Njaa tu inakusumbua.Wakuu,
Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na kupunguza athari za mabomu ya machozi.
Mipango ya maandamano hayo inafanywa na Chaneli ya Club House inayoitwa Sauti ya Watanzania.
View attachment 2683050
Huu ndio ukweli.Wanasumbuliwa na njaa,hawataki kufanyakazi.Kumekuchaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku ya maandamano tutawaona wavulana watatu na mdada mmoja, wengine mtakuwa huko clubhouse mnajiandaa[emoji1787][emoji1787].
Acha njaa,fanyakazi.Ukiona mtu analalamika sana ,ujue ni mvivu.Bibi wa watu hela keshanunua udi na mitandio halafu mnamkalia kooni.
Muhurumieni mtamuua kwa pressure.
Jmani mtamuua na pressure mama wa watu
Uko sahihi hajali kabisa Naskia na Nafco imeendamama hana habari kabisa na nyinyi yeye tayari kaisha maliza mambo yake nyinyi pigeni kelele weee mtachoka