Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

Hivi kwani maandamano ya amani ni kosa kisheria? Vijana wengi wa zama hizi wamelelewa ki fisi maji sana!

Mkoloni angebaki mpaka leo basi Tanzania ingeendelea kuwa koloni milele.
Haya nyie vijana wa zamani lini mliandamana? Au zile kunji za chuo unaita maandamano
 
ok hiyo siku tunataka muweke na familia zenu mbele . ili mvunjwe miguu vizuri. sio mnataka watu waandamane ila ninyi na watoto wenu mpo marekani
Sawa lete na watoto wako na wewe kama unao na punguza uvuvi wa kufikiri wewe toto jinga, akili yako ni ile utotoni kama dada aogi nami siogi, kama dada hapigi mswaki nami sipigi mswaki.
 
Kumekuchaaa🤣🤣🤣🤣 siku ya maandamano tutawaona wavulana watatu na mdada mmoja, wengine mtakuwa huko clubhouse mnajiandaa🤣🤣.
Watu wakiamua wameamua ni amani sio fujo tena wanaweza wakapewa na polisi wawasindikize, shida ipo wapi ? Hii Nchi ni yetu sote kikubwa usivunje Sheria

404: Page Not Found
 
Arusha tupeni utaratibu..itengenezwe whatzup group..na isiwe na kikomo,watumie risasi za moto tushachoka
Hakuna Sheria inayomruhuru polisi kuua raia wa kawaida na risasi za Moto ndio maana wanatumia maji washawasha na mabomu machozi kutuliza ghasia, ikitokea polisi kaua raia hata Serikali haitomuelewa maana haijamtuma kuua raia

404: Page Not Found
 
Hivi kwani maandamano ya amani ni kosa kisheria?
Sio kosa na ni haki yako ya kikatiba Ila kuna ambao wameiminya kwa minajiri ya kukupa kibari cha kuandamana kutoka kwa walinzi wa amani ila wakikunyima kibari ukaenda kinyume chao wanachukulia wewe huitaki amani unataka fujo,

Sasa itaangaliwa unaomba kibari uandamane ili kupinga nini au kwa ajili ya nini na unamlenga nani yule mtoa kibari ataangalia uzito wa mtu unaeenda kupinga maamuzi yake kwa kuandamana upoje ni mzito kiasi gani ?

Na pia ataangalia ugali wake kwamba je akitoa kibari yeye atavua gwanda na kuungana na nyinyi yaan ugali wake umeishia hapo au akomae na gwanda nyinyi awapige pin hakuna kuandamana ili alinde ugali wake?

Ila Sheria inaruhusu maandamano ya amani yenye kibari kutoka kwa walinzi wa amani

404: Page Not Found
 
Wakuu,

Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na kupunguza athari za mabomu ya machozi.

Mipango ya maandamano hayo inafanywa na Chaneli ya Club House inayoitwa Sauti ya Watanzania.

View attachment 2683050
Bi. Chausiku andaa magari ya deraya, na ya upupu na mabomu ya machozi, na risasi za moto, tupo tauari kufa kwa ajili ya ardhi yetu Tanganyika
 
Mpaka siku akiandamana Maria sarungi nitajua mpo serious na Mimi nitaandamana😃😃
Maria Sarungi ndio hatma (destiny) yako? Vizazi vyako vijavyo vina maslahi gani na Mkerewe Maria Sarungi?

Tutaandamana kwa ajili ya mama yetu Tanganyika
 
Maria Sarungi ndio hatma (destiny) yako? Vizazi vyako vijavyo vina maslahi gani na Mkerewe Maria Sarungi?

Tutaandamana kwa ajili ya mama yetu Tanganyika
Nasema hivi! Siwezi kuwa mbuzi wa kafara wao wakae nyuma ya keyboard Mimi nikachezee segere la FFU ...halafu pakinuka Wana kwa kukimbilia ulaya
 
Wakuu,

Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na kupunguza athari za mabomu ya machozi.

Mipango ya maandamano hayo inafanywa na Chaneli ya Club House inayoitwa Sauti ya Watanzania.

View attachment 2683050
Ingependeza ikiwa kila mkoa/wilaya watu washiriki nchi nzima.
 
Back
Top Bottom