Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

Acha njaa,fanyakazi.Ukiona mtu analalamika sana ,ujue ni mvivu.
Ukute una comment ukiwa sebuleni kwa shemeji yako unasubiri watoke chumbani na dada yako ndio mle halafu unaongelea njaa za wengine.

Sasa mwamba hatoki leo, anapelekea moto sister 'ako mpaka kieleweke. Wakimaliza anapelekewa chakula chumbani.

Leo utaangalia mpaka marudio ya taarifa ya habari ITV huku tumbo likinguruma nenge.
 
Wakuu,

Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na kupunguza athari za mabomu ya machozi.

Mipango ya maandamano hayo inafanywa na Chaneli ya Club House inayoitwa Sauti ya Watanzania.


View attachment 2683050
anza weweeeee
 
..anisamehee kwa kusema hilii kuna kipindi mlikuwa mnadanganya watuu maandamano wakiumia watu hamko wala ndugu zenu hawakoo

kuna siku nilikuwa na mh mmoja wa upande ule before anasisitiza watu waandamane
yale maandamano aliyaangalia hotel mmoja huku mbezi beach ....nilicheka sana mapoppompo kumbe wapo wengi tz
 
Kumekuchaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku ya maandamano tutawaona wavulana watatu na mdada mmoja, wengine mtakuwa huko clubhouse mnajiandaa[emoji1787][emoji1787].
Yani unawajulia [emoji23][emoji23] mara ya kwanza si waliandamana pale mnazi mmoja, tuliona mdada mmoja tu kakamatwa wale vinara wa uhamasishaji hakukuwa hata na mmoja aliyejitokeza
 
Hivi kwani maandamano ya amani ni kosa kisheria? Vijana wengi wa zama hizi wamelelewa ki fisi maji sana!

Mkoloni angebaki mpaka leo basi Tanzania ingeendelea kuwa koloni milele.
 
Back
Top Bottom