25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
Tarehe hiyo tajwa vijana watakuwa kila kona wakifanya usafi na mitutu yaoWakuu,
Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na kupunguza athari za mabomu ya machozi.
Mipango ya maandamano hayo inafanywa na Chaneli ya Club House inayoitwa Sauti ya Watanzania.
View attachment 2683050