Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

mama hana habari kabisa na nyinyi yeye tayari kaisha maliza mambo yake nyinyi pigeni kelele weee mtachoka
Haswa! Mpaka uchaguzi unaporwa, tozo zisizoeleweka,WaTz wanavumilia, bandari hamnyimi usingizi! Ila tuandamane tu, ataambiwa, kama hataona!
 
hivi, Mwabukusi, Lisu na nshala, kwanini wasiunde chama chao kipya, mbona itapendeza sana, na hakuna wa kuwazuia manake atakayewazuia watamburuza mahakamani. sioni mwanga kwa chadema, naona mwanga kwa watu hao binafsi.
 
Ngoja tuone watakaojitokeza hiyo tarehe 22 July.
 
hivi, Mwabukusi, Lisu na nshala, kwanini wasiunde chama chao kipya, mbona itapendeza sana, na hakuna wa kuwazuia manake atakayewazuia watamburuza mahakamani. sioni mwanga kwa chadema, naona mwanga kwa watu hao binafsi.
Watu wengi Hawataki shida Sasa chama Cha wapenda shida nani watajiunga? Watu wanataka pesa sio ujinga ujinga huo.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wiki endi hiyo!!!Nitakuwa Zangu nakula Zangu kitimoto makange,,na plisna zakutosha kuanzia mchana!!
 
Binafsi yangu kwa niaba ya walambwa wenzangu wote jamii forum nitakuwa na mwabukusi na wanaume wengine wa mikoani mahakama ya mbeya.. hongereni wanaume wa dar kwa dhamila ya dhati kutetea rasilimali zetu. Tunangoja mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…