Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #41
Kwenye madai ya aina hii si bunduki wala vifaru ambavyo ni effectiveWatu wa Dar es salaam Tanzania wavumilie kama wananchi wa apo Dodoma na singida wanavyipata shida
Kila mtanzania aliyezaliwa na mama wa Tanzania ni makondoo tu. sisi sote tunaingizwa zizini na mbwa mdogo asiyeng'ata ila anatukusanya tu. Subiri Tanzania ya baada ya miaka hamsini. Mpaka makondoo sote tufe tuishe. Period.Unazungumzia Watanzania sisi au "wa kufikirika"?
Unadhani kuna mtu ataenda kuandamana akiona FFU wenye mitutu na maji ya kuwasha na wajeda wakiwa barabarani "wanafanya usafi"? Labda Tz ingine !!mt
Acha uongoKwenye ishu ya Maji, FFU watageuka kama sisimizi siku hiyo.
Tofautisha madai ya kisiasa na yale basic need. Wananchi wengi hawajui au kujali mbo ya kisiasa, lakini yale ya Basic need kama Maji, utawashangaa watakavyogeuka na kuwa watu hatari
Unanikumbusha Maandamano ya kikotoo pale mfalme alipo kataa waliunga mkono ghafla alipoibuka jalalani na kuunadi kwa mtizamo has I waliuunga mguuHahahah watajifanya kama hawajaona vile mkuu.
Kwani wewe hutaki kushiriki maandamano ya namna hii?Unanikumbusha Maandamano ya kikotoo je mfalme alipo kataa waliunga mkono ghafla alipoibuka jalalani na kuunadi kwa mtizamo has I waliuunga mguu
Tunanunua ndege kwa cash wakati maji hata ya kuchambia hatuna....Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
mm Mimi siyo bendera fuata upepo ila nimejifunza kuhusu unafikiKwani wewe kushiriki maandamano ya namna hii?
Mimi ni mtaalamu wa ujasiriamali(Entrepreneurship specialist) asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yako(yoyote ile) ni wewe mwenyewe lakini cha ajabu asilimia 20% ina nguvu hata ya kuiua biashara kwenye hiyo asilimia 20% serikali ndiyo inaongoza lakini hawawezi kukubali,serikali ni adui namba moja ,namba mbiili ni wananchi kwa elimu yao ,ukabila,itikadi ,kipato chao,shuguli zao na tabia namna wanavyo kabiliana na maisha yao (social -demographic variables) na magonjwa ya mlipuko kama uviko-19(disease outbreak) ambacho ndiyo kisingizio ukweli nikwamba uchumi huyumba kutokana Sera mbovu ambazo hazina mwelekeo (zinazo badilika badilika)Kuna mzee mmoja mmarekani nilikutana nae last month ni millionaire in USD ila anashinda sana TZ, katika maongezi alisema bongo bado fursa zipo kwenye madini, maji na teknolojia.
Hivi kwenye maisha haya magumu MTU anaongeza Tozo kila mahali ni zaidi ya ubinafsi na uuaji.Ubinafsi umewajaa hadi wamesahau huduma za kilazima kwa jamii.
Ccm ni mashetani.Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
πππYaani watu wanashindwa hata kuenjoy tendo la ndoa sababu hakuna maji ya kuoga janaba.
Hii nchi imekuwaje mbona imekuwa ya hovyo sana?
Bila maji hata ntoto hapatikaniiiiTofautisha madai ya kisiasa kama vile demokrasia na madai ya uhai, maji ni uhai. Ukiwa na kiu kimekukaba hayo maji utayafuata hata kambini kwa FFU na hutojali virungu wala bunduki zao
Huyo mnayemuita mama,ashalegea.Sasa anavaa mabaka mabaka.Andamaneni,tutatoa kipigo cha mbwa koko-Rpc Mroto
Mama anaponya nchi,anaupiga mwingiiiiiiii.
Ni wageni hao tz au. Miaka ya 90 kulikuwa na mgao huu wa Sasa mbona cha mtoto kabisa. Now kuna hadi visima hata kama ya chumvi but yapo. Watulie tu Tunajenga uchumi Kwanza maji yatasubiri ingawa tunazungukwa na Water bodies kila kona ya nchi...... Ila. Kiukweli hii nchi ni kama in laana vile.Tofautisha madai ya kisiasa kama vile demokrasia na madai ya uhai, maji ni uhai. Ukiwa na kiu kimekukaba hayo maji utayafuata hata kambini kwa FFU na hutojali virungu wala bunduki zao
Mlipoambiwa CCM ni Ile Ile hamkuamini?Huyo mnayemuita mama,ashalegea.Sasa anavaa mabaka mabaka.