Maandamano makubwa ya kudai maji Dar es Salaam

Kaa nyumbani na mkeo husiipe shida familia yako, tafuta alternative nyingine ya kustahimili mgao wa maji na umeme ambao hauishi leo,tuvumilie tu kwani wenyewe wanadai nchi imefunguka, wana uhuru wa kuongea zamani walikuwa wamebanwa ila umeme na maji haukuwa wa mgao.
 
Muongo kabisa tena ulipoweka Katiba Mpya ndiyo umezidi kuharibu zaidi.
 
Kama Hamtunzi Vyanzo Serikali Itatoa Wapi maji?? TULIENI
 
Mbadilike Wenyewe Kwa Kujali mambo ya Msingi Maji Kila mtu atunze Chanzo
 
Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
10% ya kwenye maji ni ndogo sana , haifanani na 1% ya kwenye ndege
 
Eti hizi ndizo akili za Chadema!! Chama kimeishiwa mikakati mpaka kinatia huruma. Haya itisha maandamano hayo tuone kama utapata hata watu 10.
 
Watu wa Dar mjifunze kuwa na subra.
Serikali imeagiza ndege nyingine mbili kwa ajili ya kuzipaki hapo hapo Dar ili muwe mnaziona.
Zikishalipiwa kesh serikali itaongeza tozo kuwalipa wabunge ili waweze kufikiria Ni jinsi gani Dar itapata maji.
Muwe na subra Ni suala la muda tu.
 
Wako sahihi kabisa. Huwezi kutumia zaidi ya trilioni moja kuendelea kununua ndege wakati basic needs za watu wako zimekushinda kutimiza. Hii ni dharau.
Of all CCM, ni Jaji Warioba na Salim ndio watu bora laiti wangelikua ni marais wetu tungekua mbali sana. Achana na haya matakataka mengine kuanzia marehemu wao na waliopita na tuliyenaye. Wote hawa ni rubbish.
 
Hayo maandamano yakitokea hata polisi hawatatumia nguvu nyingi ksb wao wenyewe wanahitaji maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…