Maandamano ni Sayansi: Mbowe siku nyingine ufanye kama ulivyoshauriwa na Lissu-x

Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.



Ccm labda wapinduliwe
Kwamba CCM wakiondoka ndio watu watabadilika ? Unasema jamaa waoga wakati madogo tu kina Panya road waliweza kuwaendesha watu wazima kwa muda wa kutosha...., kwahio nakwambia hivi bado hawajabanwa wala kile kinachogombaniwa hakijawa defined kwao vizuri wala alternative ya kilichopo pia haiaminiki wanaweza wakaingia mtaani ili kubadilisha chupa badala ya mvinyo...
 
haha sawa mkuu.
 
🤣

Acha blah!blah!
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana
 
Wajinga kama nyie ndo mzigo Kwa nchi hii
 
Maslahi gani wakati ni Bilionea? Ameanza kushika Pesa akiwa na 19yrs old na wala hajui siasa enzi hizo ,mpaka anaingia kwenye siasa ana Utajiri wa hatari mpaka kumiliki apartment Down town NYC ,Hotels na majumba UK.
Acha uwongo ,leta ushaidi unaosema kuwa mzee mbowe ni bilionaire kwa maana kwenye rekodi za walipa kodi haoinyeshi kama huyu mtu anayo hela inayozidi 500m Tzs
 
Yasiyo na kibali ni kuvunja sheria mtashughulikiwa
 
Chadema hii siku ikipita leo bila kufanya hayo maandamano ndo watakuwa wamehalalisha rasmi mauzauza mengi yanayokuja mbele....kuanzia kwny uchaguzi wa serikali za mitaa mpk ule wa mwakani maana wataonekana Hawa ni wapiga domo hawana lolote....chama kilichokuwa kinatekeleza kinayoyasema ni CUF wazee wa jino kwa jino....wale walikula sana virungu kipindi cha mkwere na kule Zenji mpk mauaji yakatokea na mwenyekiti akavunjwa na mkono....mbowe na uenyekiti wake miaka 17 takribani hata ngeu Hana halafu ahamasishe maandamano watu wachukulie serious....hii inaonesha hata wapiga kura wa Chadema watakuwa ni wapiga kura wa hmu mitandaoni sio kule vituoni....mkisema kitu mkakakatazwa na mamlaka lakini mkasisitiza mtafanya mnatakiwa mfanye kwli....sio mkitishwa kidogo tu mnakula unyoya
 
Unaweza kuwa sawa! Ni mtu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…