Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwamba CCM wakiondoka ndio watu watabadilika ? Unasema jamaa waoga wakati madogo tu kina Panya road waliweza kuwaendesha watu wazima kwa muda wa kutosha...., kwahio nakwambia hivi bado hawajabanwa wala kile kinachogombaniwa hakijawa defined kwao vizuri wala alternative ya kilichopo pia haiaminiki wanaweza wakaingia mtaani ili kubadilisha chupa badala ya mvinyo...Narudia tena
Hakuna mtu muoga sana kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana.
Ccm labda wapinduliwe