Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

Tuandamane kwa wingi. Dunia ijue ujinga wa Wazayuni
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Kwani wale askari wote wamaeshaondoka hapo Dar...
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Mkuu wenu Hassan Nasrallah nae tayari wamemuua kwenye shambulizi la jana, muda huu atakua anakabidhiwa bikra 72, hivyo ongeza nguvu ya kuhamasisha maandamano yawe makubwa sana

Nonsense
Yani watu wameamua kutumia rasilimali zao kufanya ugaidi ili Dunia iwe sehemu hatari kwa wasio na hatia halafu eti wakishambuliwa masikini mwingine huku Tanzania apoteze muda wake kuandamana?
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Kaandamane Micheweni Zanzibar huko, hatutaki fujo huku.
 
Hawa Hezbollah hata sijui kwanini walijiingiza kwenye mambo yasiyowahusu kwa kujiingiza vitani bila sababu. Sasa wanawatesa raia wao Bure kabisa
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Mimi ni Muislam. Katika mafundisho sahihi ya Uislamu maandamano ni haraka. Hayo ni ktk mambo ya Bida'a
 
Hawa Hezbollah hata sijui kwanini walijiingiza kwenye mambo yasiyowahusu kwa kujiingiza vitani bila sababu. Sasa wanawatesa raia wao Bure kabisa
Israel’s Chief of Staff, Lt. Gen. Herzi Halevi, said Saturday that the elimination of Nasrallah was “not the end of our toolbox,” indicating that more strikes were planned.
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Tafuta kazi ya kufanya au njoo nkupe kibarua cha kupalilia mihogo ili uwe bize.
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
Andamana waje wakukande nenda huko lebanon. Na mbona walipouliwa waisrael huja andamana..?
 
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.

Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.

Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Wabillah Taufiq
**** la mmko, wakati Hezibullah wanashambulia Tel Aviv mlikua wapi kuandamana kupinga uchokozi wa wapumbavu wenzenu.

Maislamu hua ni majinga, machokozi, manafiki, ili hali ni dhaifu sana Kum.a la mmzenu na mwaka huu Mayahudi wamepanda mzuka mtafinywa mpaka ipasavyo.
 
Back
Top Bottom