Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wale askari wote wamaeshaondoka hapo Dar...Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
Mkuu wenu Hassan Nasrallah nae tayari wamemuua kwenye shambulizi la jana, muda huu atakua anakabidhiwa bikra 72, hivyo ongeza nguvu ya kuhamasisha maandamano yawe makubwa sanaNdugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
Kaandamane Micheweni Zanzibar huko, hatutaki fujo huku.Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
Labda uandamane huko JF, barabarani watakivunja mbavu.Tuandamane kwa wingi. Dunia ijue ujinga wa Wazayuni
Watanzania mlisha sema hatutaki maandamano. Sasa mnataka kuandamana ili dunia iwaleweje? Acha walinywe wenyewe kama wamelikoroga. Israel na IDF yake siyo wa kuchezea. Hayatuhusu sisi wala Taifa letu .Ujinga mtupu.
Huna kazi ya kufanya?
Kile kizazi kingine . Usipime !Tuandamane kwa wingi. Dunia ijue ujinga wa Wazayuni
Kwani Zitto yeye anasemaje ?Kama yangekuwa ya kupinga utekaji hapa tz ningekuona una akili
Mimi ni Muislam. Katika mafundisho sahihi ya Uislamu maandamano ni haraka. Hayo ni ktk mambo ya Bida'aNdugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
Israel’s Chief of Staff, Lt. Gen. Herzi Halevi, said Saturday that the elimination of Nasrallah was “not the end of our toolbox,” indicating that more strikes were planned.Hawa Hezbollah hata sijui kwanini walijiingiza kwenye mambo yasiyowahusu kwa kujiingiza vitani bila sababu. Sasa wanawatesa raia wao Bure kabisa
Moto mkali utakuwa unamsubilia huko ahela kwa damu nyingi isiyokuwa na hatia aliyoimwaga hapa duniani. Mwnyenyezi amuweke mahali panapomstahili huko ahela.IDF: Hezbollah chief Nasrallah killed
Tafuta kazi ya kufanya au njoo nkupe kibarua cha kupalilia mihogo ili uwe bize.Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
Andamana waje wakukande nenda huko lebanon. Na mbona walipouliwa waisrael huja andamana..?Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
**** la mmko, wakati Hezibullah wanashambulia Tel Aviv mlikua wapi kuandamana kupinga uchokozi wa wapumbavu wenzenu.Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali huko Israel huko Lebanon Kwa maandamano ya Amani.
Tarehe: Ijumaa, 03 Oktoba, 2024 baada ya Salat Al jummah.
Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wabillah Taufiq
TakbiirVijana wa madrasa mjitokeze Kwa wingi