Maandamano ya CHADEMA yapuuzwa na kukataliwa na Wananchi

CCM bila polisi hakuna chama hapo.
 
Tunaposema kuwa hiki chama kinao viongozi ambao walikimbia umande muwe mnatuelewa jamani .Hivi mtu kama Lema unategemea aweze kuwa na mkakati wowote ule?
 
Reactions: Tui
Halinaga hata aibu ni kusifia tuu na lucas yeye anacho amin adui wa taifa ni CHADEMA.

Wakati maadui wa taifa tulio aminishwa tangu uhuru ni UJINGA, UMASKINI, MARADHI.

Watu Kama Lucas Ndio maana halisi ya waste sperm.
Maradhi yapo matatu na limeongezeka la nne ni chagadema
 
Nenda na wewe uandamane.mmeanza porojo zenu za siku zote baada ya kupuuzwa na watanzania
Si wakuonee hata basi wakupe uteuzii mkuuu ,miaka yote unatumia bando ,unatumia muda lako hawakupi hata mia ,unakesha mtandaoni kutetea wauwaji,
hAWAKUPIA HATA MIA MBOVU ,KAZI KUJIPENDEKEZAAA TUUU ,KUNGUNI TUU WEWE ,

JIBU HOJA TOKA WEEK SASA POLISI WANAZURURA TUU ,LEO WAMEKESHA KWA VIONGOZI WA CDM ,WAKIWALINDAA USIKU KUCHA JIBU HOJA ACHA MAROPOKO HUNA HOJA YOYOTE MROPOKOO

KUNGUNI WEWE UNAONEKANA USIKU TUU!
 
 

Attachments

  • 20240922_155031.jpg
    99.9 KB · Views: 2
Dogo bado upo huku na domo lako? Sasa unaenda saa ngapi kwenye maandamano?😀😀kweli CHADEMA ni matapeli sana.mlitaka kuwatoa kafara watu huku Ninyi mkiwa mmejificha huku kama kuku
Nimezuiwa na polisi hapa kitu cha Manyanya tangu saa 3:09 mpk muda huu wamegoma kuniruhusu nimekaa tu kwenye gari lao
 
Nimezuiwa na polisi hapa kitu cha Manyanya tangu saa 3:09 mpk muda huu wamegoma kuniruhusu nimekaa tu kwenye gari lao
Kweli wewe dogo ni akili kubwa .maana naona na wewe umeamua kuyapuuza maandamano na kuungana na Mama kudumisha Amani hapa Nchini.wajinga ndio waliwao.lissu watoto wake wana uraia wa Marekani na hana cha kupoteza
 


Mapadri na maaskofu waende mbele kwenye maandamano wasitoe matamko tu
 
Hivi main issue ni nini ?
Ushindi wa CHADEMA au CCM; au Incompetence inayopelekea maisha ya watanzania kuwa ndivyo sivyo na watu kukosa imani na mamlaka hivyo kupelekea chaos ?

Sababu naona ni kama nyumba inaungua na badala ya kuzima watu mnarumbana ni nani aliyeanzisha moto....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…