Una uhakika na unachonena?Tumia akili ...chadema ni genge la mafisadi na vibaraka wa mafisadi wa ndani na wa nje ya nchi hakuna mzalendo hata mmoja. Nikama zitto kabwe tu.. chama cha chadema hakina tofauti na mchawi....ambaye anajidai mwema kumbe usiku ana wanga ...
Tatizo mmetanguliza wanasiasa misukule ambao mpaka watoto wadogo wanajua ni wehu hao.Wao waliandamana kupinga finance bill , sisi tumeandamana kupinga utekaji , kwahiyo hamna excuse
Wanasiasa nawao ni wananchi kama weweMaandamano ya Kenya usiyafananishe na huu upuuzi wa huku Tanzania, maandamano ya kupinga serikali yanafanywa na wananchi na sio wanasiasa.
1000% majuzi tundu lissu kasema kuhusu rushwa ya ccm kwa viongozi wa chadema .... chadema ilikuwa inatumiwa na genge la wahuni na raia feki kina rostam azizi kupinga maendeleo ya nchi yetu chini ya JPM kwa kupigania maslai ya kina rostam azizi kama kupinga kujengwa kwa bwawa la umeme la nyerere hili fisadi rostam na genge lake waendelee kuwakamua watz kwa bei ya juu ya gesi maana walijua kuwa chini ya Jpm bwawa likikamilika bei ya umeme ingeshushwa kwa nusu na kuvuluga ubiashara yao ya kuwanyovya watz kwenye gesi.Una uhakika na unachonena?
yaani wewe unayetumia jina bandia huwezi jiweka sentensi moja na mboweTatizo mmetanguliza wanasiasa misukule ambao mpaka watoto wadogo wanajua ni wehu hao.
Gen z walijiteua wenywe wakaandamana kwa kauli moja ndo maana walifanikiwa.
Mtu kama mbowe wa kutuambia nini sisi tumsikilize??
Huyo jpm alimpigia rostam magoti akamuomba arudi aje awekeze1000% majuzi tundu lissu kasema kuhusu rushwa ya ccm kwa viongozi wa chadema .... chadema ilikuwa inatumiwa na genge la wahuni na raia feki kina rostam azizi kupinga maendeleo ya nchi yetu chini ya JPM kwa kupigsnia maslai ya kina rostam azizi kama kupinga kujengwa kwa bwala la umeme la nyerere hili fisadi rostam na genge lake waendelee kuwakamua watz kwa bei ya juu ya gesi maana walijua kuwa chini ya Jpm bwawa likikamilika bei ya umeme ingeshushwa kwa nusu na kuvuluga ubiashara yao ya kuwanyovya watz kwenye gesi.
Magufuli alikuwa mjanja sana kwenye mbinu ya kupambana na mafisadi lengo nikurudisha mali alizo pora kisha anamalizwa maana huyo rostam ni jambazi kubwa sana nchini .Huyo jpm alimpigia rostam magoti akamuomba arudi aje awekeze
Huu ndo ukweli tuna taifa la watu wa hovyo sana mtu anakuambia mbowe hamtaki sawa nenda wewe front hataki haya ndo maajabu ya Tanzaniahata wakija wengine, mtajificha kwenye keyboard
Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last weekVijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last weekView attachment 3104659Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Alirudisha zipi nawakati na kiwanda alifungua cha Taifa gas acha uongo na mpaka leo anakula faidaMagufuli alikuwa mjanja sana kwenye mbinu ya kupambana na mafisadi lengo nikurudisha mali alizo pora kisha anamalizwa maana huyo rostam ni jambazi kubwa sana nchini .
Hatuna watu wa hovyo. Tuna watu walioridhika na hali zao.Huu ndo ukweli tuna taifa la watu wa hovyo sana mtu anakuambia mbowe hamtaki sawa nenda wewe front hataki haya ndo maajabu ya Tanzania
Mkuu hii picha ni ya zamani siyo ya kwenye maandamano ya leo acha upotoshaji.Sio kweli watu walianza kudhibitiwa na kutishwa na kukamatwa tangu Alhamisi last weekView attachment 3104659
Wanahatarisha maisha kwa watu ambao wapo bize na Simba na Yanga. Ni kuwaacha tu wakipigika kisawasawa watazinduka na kutetea haki zao bila kuhitaji Kiongozi wa kuwasemea.Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Si unafiki bali elimu ya uraia kwa vijana wa Kitanzania bado. Pia elimu ya Wakenya ipo juu kwa ujumla hivyo wanajitambua.Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Angalia haya maeneo ya Kibera, Mathare hapa ambapo ni kilometres sita toka Nairobi.Sahihi mfano Tanzania ukishindwa maisha mjini waweza kwenda kijijini shamba ardhi iko kibao
Kenya ardhi inahodhiwa na wachache kijana akizaliwa familia maskini maisha yakimshinda mjini hana pa kwenda kusema atalima ale tu walau hamna kila ardhi akikanyaga ina mtu anamiliki
Na hawezi nunua inauzwa kwa bei ya kutisha
Watanzania sio wajinga.Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road)
Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio umekuwa hafifu
matokeo yake kaandamana Mwenykiti wa chama hicho Freeman Mbowe na familia yake na baadhi ya viongozi na wanachama wachache wa chama hicho waliojitokeza kwenye maandamano hayo kuthibitiwa na kutiwa nguvuni na Polisi
Ukifuatilia na kusoma jumbe zao kwenye mitandao ya kijamii utadhani kweli vijana hao wako makini na kwamba wanauchungu sana na nchi yao na kwamba wataandamana kumbe utopolo mtupu wanabweka kama mambwa koko
Mbowe leo kajikuta anaandamana yeye na mkewe na mtoto wake na waandishi wa habari vijana wa hovyo wauufwata mkia
Vijana nawasalimu Comasa
Sina uwezo mdogo, ila nmeongea kitu ambacho hakijakufurahisha bila kujali n sahihi au siyo.Wanasiasa nawao ni wananchi kama wewe
yaani hii comment yako inaonyesha uwezo wa watanzania wengi ni mdogo sana